Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

Daah!!! Hiyo kweli kaka

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwa kuwa tayari wamefahamu juu ya hizo video zao, ni adhabu tosha kwao. Futa kabisa katika computer yako.

Akumbuke kwamba malipo ni hapa duniani, ahera ni mahesabu tu ndiyo yanayofika huko.

Ukiwafanyia wenzako vibaya kwa kusambaza hizo picha zao basi na wewe Mungu anakusubiri na siku moja utajikuta wewe au mwanafamilia wa karibu (mke, ndugu, mtoto) na yeye ametendewa kama hivi. Sijui utaona furaha gani hapo.

Rudisha kwa mwenyewe hiyo camera akupatie fedha zako, lakini urejeshe ukiwa umefuta huo ujinga. Na umpe tahadhari ya nguvu kukoma kufanya ujinga huo laa sivyo utamshtaki.
 
Nitumie whatsapp nizione kwanza ndio nikushauri, fanya hivyo mkuu
 
Kuna jamaa alivamia mtaani kwetu na vijiela ela vyake, sasa kama kawaida ya dada zetu wakaanza kumshobokea na jamaa mashallah alikuwa muongaji mzuri.

Kama unavyojua dada zetu kwa kuambizana, wakishabanjuliwa na kuhongwa wanaenda kuadisiana, kumbe wenyewe kwa wenyewe walikuwa wanazungukana baada ya kuona kuna dili bila ya kujijua.

Jamaa nae kumbe alikuwa ana principle zake , ukija siku ya kwanza anakuonga kama laki au elfu hamsini, siku ya pili anapunguza mgao na baada ya apo anaweza kukutoa ata kapa ili mradi tu uachane nae.

Sasa kilichotokea kumbe jamaa alikuwa anamchezo wa kuegesha Camera sehemu anayoijua yeye mwenyewe chumbani wakati anagonga mzigo na kujirikodi. Na kafanya ivi kwa wadada kibao bila kujijua ambao tunawajua pale mtaani.

Siku moja mdada mmoja kati ya hao alilala na uyo jamaa mpaka asubui na bahati mbaya siku iyo jamaa alimtoa kapa na kumpa maelekezo yule dada kuwa yeye anawai kazini ila funguo akitoka aache duka la jirani.

Dada yule kuona dili limekataa siku iyo baada ya kutolewa kapa akaamua kuanza tafuta tafuta kule chumbani na kwa bahati mbaya akaikuta camera pembezoni ya kabati, akaona dili ndo ilo akatambaa nayo.

Sasa kwa njaa yake akawa anaiuza mtaani na akajifanya ana shida ya haraka kwa kuwa amepata msiba na anataka kusafiri mkoani, mi kwa kuiangalia japokuwa ilikuwa haina chaji kipindi kile nikaamua kuinunua na nafikiri yule dada alishindwa kuikagua kwakuwa haikuwa na chaji.

Kwenda kuiangalia ndani duh nikakutana na mambo ya ajabu sana, kina dada walikuwa kama wanaact movie na ngono vile, ni aibu tupo jamaa alivyowafanya, kuna waliokuwa wanaliwa mpaka Tigo uku akiwaelekeza kwenye Camera bila ya hata wao kujijua.

Sasa yule jama aliporudi jioni kwenda kucheki Camera haipo, akaanza kumpigia simu demu kazima, kwenda kwao akaambiwa demu kauza camera na na hajulikani alipo na simu yenyewe kazima. Jamaa alichanganyikiwa na hakujua cha kufanya, baada ya kukaa kama wiki pale akaona mambo yatakuwa makubwa baada ya kumkosa demu akaamua kuhama.

Sasa ile Camera ninayo mie na nishaamisha zile video kutoka kwenye Camera kwenda kwenye computer yangu. Nimeshaangalia mpaka nimezichoka ndo kichwa kinaniuma apa nizichukulie uamuzi gani.
Kwamba niwatafute wazee wa udaku niwauzie ama niendelee tu kukaa nazo, manake naisi awa kina dada bila ya kuwarusha hewani hawawezi pata fundisho la uu uchafu wanaoufanya.

Ila mpaka sasa kinachonifanya niumize kichwa ni kuwa wale wadada skendo yote wameisikia na wanajua kuwa Camera nimeuziwa mie ila hawawezi kunifata wala kuniuliza manake wanaona aibu sana kwa kuwa ukiziangalie zile video jamaa kapiga Tigo karibu mademu wote na wengine wake za watu pale mtaani.

Naombeni ushauri sasa niwape hukumu gani hawa mada, manake nisipokuwa makini naweza julikana kuwa ni mie ndo nimeuza ii ishu na kuachisha mpaka ndoa za watu.

Mdau

Wanafunzi wa 0level na story zao bhaana ni shidaaaa...
 
Hiyo bila shaka ni maeneo ya Tandale kwa Tumbo, nilisikia hii story.
 
Akumbuke kwamba malipo ni hapa duniani, ahera ni mahesabu tu ndiyo yanayofika huko.

Ukiwafanyia wenzako vibaya kwa kusambaza hizo picha zao basi na wewe Mungu anakusubiri na siku moja utajikuta wewe au mwanafamilia wa karibu (mke, ndugu, mtoto) na yeye ametendewa kama hivi. Sijui utaona furaha gani hapo.

Rudisha kwa mwenyewe hiyo camera akupatie fedha zako, lakini urejeshe ukiwa umefuta huo ujinga. Na umpe tahadhari ya nguvu kukoma kufanya ujinga huo laa sivyo utamshtaki.

aliyetoa maoni haya hapo juu na yeye yumo kwenye mkanda huo
 
Peleka gazeti za udaku upate hela wewe, hayo mengine watajua wao tena uza story moja moja kila wiki

Hivi mkuu kwa kukadilia movie moja unaweza ukauza kwa shilling ngapi? maana nina movie kama 5 hivi halafu ni ndefuuuu balaa.
NB: msinulize nimezipate maana ni story ndefu saaaaaaaaaana na nawahakikishia kabisa wahusika wa kwenye hizi movie hata nikiwa expose wanastahili kabisaaa
 
Mkweli wa mambo
Nirushie nizione.kwanza kisha.nitakwambia gharama zake
 
aliyetoa maoni haya hapo juu na yeye yumo kwenye mkanda huo

Huyo Mungu unayemzungumzia wewe ni wa herufi kubwa au ndogo?acha kumsingizia Mungu mambo yakipuuzi!Munguninaye mjua mimi hajiusishi na mambo ya giza!!!
 
Mzee wa busars,nakushauli ucwale tigo wala kuusiana nao kuna magonjwa,zimwage izo video ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Back
Top Bottom