Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

hadithi nzuri sana sasa wewe ulijuaje kama huyu jamaa anawahonga?
 
Waombe Mzigo Nawewe Wakikataa Mpelekee Msukuma Shigongo
 
mimi ninayo ya mama yetu s@lima!! yule mke wa muheshimiwa kuliko wote hapa nchini na babu seyaz sijui nifanye nini
 
Kukosa kazi kubaya sana! Eti niwakomeshe waache uchafu wao!! Teh teh Uchafu ni upi? Kufanya ngono au? Tigo au? Confusing👼, uwakomeshe then what! Hivi kuuza porn za mtu nao ni ujasiriamali eeh, lol naomba niwe wa mwisho kufanya hiyo biashara. Btw, story yako ni vigumu sana kuiamini kutokana na mtiririko wake wa visa na matukio kuwa na mushkeli, ila nime comment kwa sababu kuna watu wanatamani kupata dili kama hizo waziuze huwa nakaaa nshangaa tu, Kwanini. .kwanini....kwanini!? Ukimuuliza atakwambia hawana maadili kwa kuwaaibisha watajirekebisha, wanasahau hata wao wanaozisambaza maadili yao ni big zero, kwa sababu wataziona hadi watoto wadogo, mhhhhhhh
 
Kuna
jamaa
alivamia mtaani kwetu na vijiela ela vyake, sasa kama kawaida ya dada
zetu wakaanza kumshobokea na jamaa mashallah alikuwa muongaji mzuri.

Kama unavyojua dada zetu kwa kuambizana, wakishabanjuliwa na kuhongwa
wanaenda kuadisiana, kumbe wenyewe kwa wenyewe walikuwa wanazungukana
baada ya kuona kuna dili bila ya kujijua.

Jamaa nae kumbe alikuwa ana principle zake , ukija siku ya kwanza
anakuonga kama laki au elfu hamsini, siku ya pili anapunguza mgao na
baada ya apo anaweza kukutoa ata kapa ili mradi tu uachane nae.

Sasa kilichotokea kumbe jamaa alikuwa anamchezo wa kuegesha Camera
sehemu anayoijua yeye mwenyewe chumbani wakati anagonga mzigo na
kujirikodi. Na kafanya ivi kwa wadada kibao bila kujijua ambao tunawajua
pale mtaani.

Siku moja mdada mmoja kati ya hao alilala na uyo jamaa mpaka asubui na
bahati mbaya siku iyo jamaa alimtoa kapa na kumpa maelekezo yule dada
kuwa yeye anawai kazini ila funguo akitoka aache duka la jirani.

Dada yule kuona dili limekataa siku iyo baada ya kutolewa kapa akaamua
kuanza tafuta tafuta kule chumbani na kwa bahati mbaya akaikuta camera
pembezoni ya kabati, akaona dili ndo ilo akatambaa nayo.

Sasa kwa njaa yake akawa anaiuza mtaani na akajifanya ana shida ya
haraka kwa kuwa amepata msiba na anataka kusafiri mkoani, mi kwa
kuiangalia japokuwa ilikuwa haina chaji kipindi kile nikaamua kuinunua
na nafikiri yule dada alishindwa kuikagua kwakuwa haikuwa na chaji.

Kwenda kuiangalia ndani duh nikakutana na mambo ya ajabu sana, kina dada
walikuwa kama wanaact movie na ngono vile, ni aibu tupo jamaa
alivyowafanya, kuna waliokuwa wanaliwa mpaka Tigo uku akiwaelekeza
kwenye Camera bila ya hata wao kujijua.

Sasa yule jama aliporudi jioni kwenda kucheki Camera haipo, akaanza
kumpigia simu demu kazima, kwenda kwao akaambiwa demu kauza camera na na
hajulikani alipo na simu yenyewe kazima. Jamaa alichanganyikiwa na
hakujua cha kufanya, baada ya kukaa kama wiki pale akaona mambo yatakuwa
makubwa baada ya kumkosa demu akaamua kuhama.

Sasa ile Camera ninayo mie na nishaamisha zile video kutoka kwenye
Camera kwenda kwenye computer yangu. Nimeshaangalia mpaka nimezichoka
ndo kichwa kinaniuma apa nizichukulie uamuzi gani.
Kwamba niwatafute wazee wa udaku niwauzie ama niendelee tu kukaa nazo,
manake naisi awa kina dada bila ya kuwarusha hewani hawawezi pata
fundisho la uu uchafu wanaoufanya.

Ila mpaka sasa kinachonifanya niumize kichwa ni kuwa wale wadada skendo
yote wameisikia na wanajua kuwa Camera nimeuziwa mie ila hawawezi
kunifata wala kuniuliza manake wanaona aibu sana kwa kuwa ukiziangalie
zile video jamaa kapiga Tigo karibu mademu wote na wengine wake za watu
pale mtaani.

Naombeni ushauri sasa niwape hukumu gani hawa mada, manake nisipokuwa
makini naweza julikana kuwa ni mie ndo nimeuza ii ishu na kuachisha
mpaka ndoa za watu.

Mdau

ivi mkuu una uimri gan? kati ya hao wadada kuna wako? je ukiwakomesha
utapata faida gan? mara udaku mara nn ili iweje? futa uwo ujinga baki na
kamera. njaa ya pesa mbaya sana.
 
ivi mkuu una uimri gan? kati ya hoa wadada kuna wako? je ukiwakomesha utapata faida gan? mara udaku mara nn ili iweje? futa uwo ujinga baki na kamera

Mkuu hata bila kuquote habari loooote unaeleweka tu
 
Zitumie kuwanasa hao wadada na wewe. Alafu ukiwa unawagonga unawarekodi tena kisirisiri.
 
Mtoa mada hivi ungekuta dada yako naye yupo kwenye huo mkanda ungethubutu kuwaza huo ufukunyuku wako.


Elimika, funguka, zuia maovu kwa ustaarabu. Fuata Sheria pale inapobidi
 
Uliangalia video zote? Dadaako hayupo humo angalia vizuri maana jamaa anaonekana kiwembe.
 
Back
Top Bottom