Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

Tuletee kwenye jukwaa letu la 100% bongo certified.. RAHATUPU.BLOGSPOT.COM
 
Kuna jamaa alivamia mtaani kwetu na vijiela ela vyake, sasa kama kawaida ya dada zetu wakaanza kumshobokea na jamaa mashallah alikuwa muongaji mzuri.

Kama unavyojua dada zetu kwa kuambizana, wakishabanjuliwa na kuhongwa wanaenda kuadisiana, kumbe wenyewe kwa wenyewe walikuwa wanazungukana baada ya kuona kuna dili bila ya kujijua.

Jamaa nae kumbe alikuwa ana principle zake , ukija siku ya kwanza anakuonga kama laki au elfu hamsini, siku ya pili anapunguza mgao na baada ya apo anaweza kukutoa ata kapa ili mradi tu uachane nae.

Sasa kilichotokea kumbe jamaa alikuwa anamchezo wa kuegesha Camera sehemu anayoijua yeye mwenyewe chumbani wakati anagonga mzigo na kujirikodi. Na kafanya ivi kwa wadada kibao bila kujijua ambao tunawajua pale mtaani.

Siku moja mdada mmoja kati ya hao alilala na uyo jamaa mpaka asubui na bahati mbaya siku iyo jamaa alimtoa kapa na kumpa maelekezo yule dada kuwa yeye anawai kazini ila funguo akitoka aache duka la jirani.

Dada yule kuona dili limekataa siku iyo baada ya kutolewa kapa akaamua kuanza tafuta tafuta kule chumbani na kwa bahati mbaya akaikuta camera pembezoni ya kabati, akaona dili ndo ilo akatambaa nayo.

Sasa kwa njaa yake akawa anaiuza mtaani na akajifanya ana shida ya haraka kwa kuwa amepata msiba na anataka kusafiri mkoani, mi kwa kuiangalia japokuwa ilikuwa haina chaji kipindi kile nikaamua kuinunua na nafikiri yule dada alishindwa kuikagua kwakuwa haikuwa na chaji.

Kwenda kuiangalia ndani duh nikakutana na mambo ya ajabu sana, kina dada walikuwa kama wanaact movie na ngono vile, ni aibu tupo jamaa alivyowafanya, kuna waliokuwa wanaliwa mpaka Tigo uku akiwaelekeza kwenye Camera bila ya hata wao kujijua.

Sasa yule jama aliporudi jioni kwenda kucheki Camera haipo, akaanza kumpigia simu demu kazima, kwenda kwao akaambiwa demu kauza camera na na hajulikani alipo na simu yenyewe kazima. Jamaa alichanganyikiwa na hakujua cha kufanya, baada ya kukaa kama wiki pale akaona mambo yatakuwa makubwa baada ya kumkosa demu akaamua kuhama.

Sasa ile Camera ninayo mie na nishaamisha zile video kutoka kwenye Camera kwenda kwenye computer yangu. Nimeshaangalia mpaka nimezichoka ndo kichwa kinaniuma apa nizichukulie uamuzi gani.
Kwamba niwatafute wazee wa udaku niwauzie ama niendelee tu kukaa nazo, manake naisi awa kina dada bila ya kuwarusha hewani hawawezi pata fundisho la uu uchafu wanaoufanya.

Ila mpaka sasa kinachonifanya niumize kichwa ni kuwa wale wadada skendo yote wameisikia na wanajua kuwa Camera nimeuziwa mie ila hawawezi kunifata wala kuniuliza manake wanaona aibu sana kwa kuwa ukiziangalie zile video jamaa kapiga Tigo karibu mademu wote na wengine wake za watu pale mtaani.

Naombeni ushauri sasa niwape hukumu gani hawa mada, manake nisipokuwa makini naweza julikana kuwa ni mie ndo nimeuza ii ishu na kuachisha mpaka ndoa za watu.

Mdau

Mkuu wewe msanii mzuri kweli...Watu kama mimi vigumu kukuelewa..Nice story
 
Nijibu haya kwanza ili nikushauri
1: Lengo lako la kuinunua hiyo kamera
2: Lengo la kuzihifadhi hizo video baada ya kuinunua hiyo kamera na kuziona. Hapa lazima utakuwa nalo maana uliamua kabisa na kuzihamishia kwenye PC
3: Imagine hao waliopo kwenye hio rekodi ni dada yako, mama yako, mdogo wako wa kike, mkeo, demu wako; je mawazo hayo ya kuwapa fundisho kwa kuwarusha hewani kama ulivyosema mwenyewe ungekuwa nayo na ungekuja kuyaombea ushauri hapa?

NB: Kama jibu la swali la 3 ni hapana, basi zifute kwenye sources zote ulizonazo uendelee na maisha yako.
-Jua pia ukitangaza na kisipotokea chochote kwa hao utakaowatangaza, wewe ndio utakuwa umejitafutia matatizo, why ujiingize matatizoni bila ya sababu?
 
Mkuu achana nayo linda heshima yako wapotezee tu.
 
Nijibu haya kwanza ili nikushauri
1: Lengo lako la kuinunua hiyo kamera
2: Lengo la kuzihifadhi hizo video baada ya kuinunua hiyo kamera na kuziona. Hapa lazima utakuwa nalo maana uliamua kabisa na kuzihamishia kwenye PC
3: Imagine hao waliopo kwenye hio rekodi ni dada yako, mama yako, mdogo wako wa kike, mkeo, demu wako; je mawazo hayo ya kuwapa fundisho kwa kuwarusha hewani kama ulivyosema mwenyewe ungekuwa nayo na ungekuja kuyaombea ushauri hapa?

NB: Kama jibu la swali la 3 ni hapana, basi zifute kwenye sources zote ulizonazo uendelee na maisha yako.
-Jua pia ukitangaza na kisipotokea chochote kwa hao utakaowatangaza, wewe ndio utakuwa umejitafutia matatizo, why ujiingize matatizoni bila ya sababu?

Dawa ya moto ni moto tu, apa kuna elimu nyingi ila tamaa ndo inawaponza
 
Back
Top Bottom