Mwanadada 'aliyeruka' na Usain Bolt afunguka

Ahahhaha ubishoo NA usister duu ulikuwa unauacha getin ukishaingia ndan unakuwa kama askar....Babu NA Miraji waliweza kuichangamsha shule kwa kwel
Miraji achana naye kabisa. Nilikuwa nikikutana naye natetemeka. Saivi makongo haina mvuto tena.
 
Ahahahaha si bora ww ulikuwa unatetemeka,kuna Dada tulikuwa tunasoma naye yy alikuwa kila akikutana NA Afande Miraji lazima amwamkie ....Kwa siku anaweza kutana naye hata Mara 10 NA zote ni mwendo wa shikamoo afande tu kwa uoga.....
 
doh mwanaume umwambia ana kibamia,unamaliza nguvu zake zote hahaaaaa hata kama anayo ndefu ataanza kujishuku hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kubalini tu,sio wote muwe na miguu ya mtoto,halaf ukiwa na kibamia usichepuke utaaibika,huyo bolt anajijua yeye ni famous baado anafanya ujinga,anyway naona anapresent wanaume wengi,wanaume wakipewa uhuru kidogo lets say kwenda mji mwingine kikazi,huo uhuru watataka kuexperiment vitu vingi kikiwepo vimwana.
Tatizo sio kibamia Bali jinsi ya kukitumia...
 
Ahahahaha si bora ww ulikuwa unatetemeka,kuna Dada tulikuwa tunasoma naye yy alikuwa kila akikutana NA Afande Miraji lazima amwamkie ....Kwa siku anaweza kutana naye hata Mara 10 NA zote ni mwendo wa shikamoo afande tu kwa uoga.....
Duh miraji ilikuwa namba nyingine ile. Umenikumbusha darasani kulikuwa na sista du mmoja hivi mrembo wa darasa.
Siku hiyo miraji kaingia darasani akamuita jina, dada kaitikia kama hataki huku anajivutavuta kuinuka. Weee.... Miraji alimjia akamvuta kwa nguvu mpaka mbele ya darasa, kamnasa kibao maskini mrembo wetu kaanguka chini tukajua kazimia.

Miraji hakustuka, ndo kwanza kamwambia nikifika ofisini nikute umeshafika. Duh, mrembo ikabidi ajizoe zoe amfate.

Wale maafande sijui walikuwa wanajiamini nini.

Halafu ile ofisi ya miraji unaikumbuka ilivyokuwa inafanana?
 
Ahahahaha hizo ndio zikikuwa zake Afande Miraji....Ile sio ofisi aisee,ofisi gan kama kiwanda cha siso bwana....sisi tulikuwa tunaiita Guantanamo bay unaingia mkavu unatoka shati limelowa chapachapa NA jasho..
 
Aisee ni miaka mingi sana.... 90s huko. Wewe utakuwa wa juzi juzi lazima. Au sio
Hapana mkuu kitambo kidgo 2000s...nimeingia pale tunafanya written exams nakukumbuka kulikuwa NA shift tatu saa 3,6 & 9 NA kila shift shule inajaa unaweza imagine ni kias gan kulikuwa NA ushindan wa kupata nafas pale.
 
Mimi nimesoma pale A level na hapakuwa na shift wala mtihani. Ila kupata nafasi pale kweli ilikuwa mbinde sana, ila kwa mwenye ufaulu mzuri haikuwa tabu.
 
Back
Top Bottom