Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,548
Na kama alimanisha duce wana historia vijana kujiua kisa sms za mapenziUkitaka kujiua baada ya kufuma Sms za jamaa mwingne niambie kabsa nlete Sanda mapema

First Year!... Kumbuka chuo ni miaka 3 ,tu mtaa unakuita weka akibaWakuu kila moja afanye kile anachokipenda,
Kweli G wangu umenikamata,sikuachi kamwe ,labda uniache ww,siyo kwa mapenzi haya ya kikorea uliyoniletea,hakika ww ni mwanamke uliyenikamata hisia zangu zote, nitakuonga sana ,narudia nitakuoga kweli kweli,
Usiku mwema kwenu
Alafu nitakublock,huwa sitaki mazoea na mademu wenye chura kama titi la mama awilo
Ahahahaha we jamaa ni nyoko sanaKumbe mate!! kweli hii dunia vituko haviwezi isha kabsa. Sasa tusubiri mrejesho wa papuchi kama hutozama mwili mzima. But kumbuka kwenda na boya, majeshi yetu yapo busy na korosho hatuna mda wa kuokoa mtu bwawani.
Hawachelewi kujirusha maghorofaniUtakapogundua mpo kumi, akili itakukaa sawa.
Wakuu kila moja afanye kile anachokipenda,
Kweli G wangu umenikamata,sikuachi kamwe ,labda uniache ww,siyo kwa mapenzi haya ya kikorea uliyoniletea,hakika ww ni mwanamke uliyenikamata hisia zangu zote, nitakuonga sana ,narudia nitakuoga kweli kweli,
Usiku mwema kwenu
G huyu nilienae geto saiz apa kimara korogwe?Wakuu kila moja afanye kile anachokipenda,
Kweli G wangu umenikamata,sikuachi kamwe ,labda uniache ww,siyo kwa mapenzi haya ya kikorea uliyoniletea,hakika ww ni mwanamke uliyenikamata hisia zangu zote, nitakuonga sana ,narudia nitakuoga kweli kweli,
Usiku mwema kwenu
Gay??Mwenyewe sipendi mazoea na magay