J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,209
Wakuu kila moja afanye kile anachokipenda,
Kweli G wangu umenikamata,sikuachi kamwe ,labda uniache ww,siyo kwa mapenzi haya ya kikorea uliyoniletea,hakika ww ni mwanamke uliyenikamata hisia zangu zote, nitakuonga sana ,narudia nitakuoga kweli kweli,
Usiku mwema kwenu