palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
Kumekucha baada ya mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilala mapema jana kutoa barua ya zuio kwa UKAWA kupitia CHADEMA kutotumia viwanja vya jangwani kufanya ufunguzi wa kampeni za uraisi 29/08/2015, baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa na maoni tofauti:
Dk. H.Kigwangala
"Alichokifanya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kuwanyima UKAWA uwanja wa Mkutano wao ni hujuma dhidi ya CCM, kama taarifa hizi ni za kweli !"
"Kwa vyovyote CCM haiwezi kuwa na mkakati wa kuwanyima UKAWA uwanja wa kufanyia mikutano, maana hatuwaogopi. Km barua hii ni kweli ni hujuma"
Chanzo: Fb na Twitter ya Mhusika