MwanaCCM amlaani Mkurugenzi Manispaa ya Ilala kuhusu viwanja vya Jangwani

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Kumekucha baada ya mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilala mapema jana kutoa barua ya zuio kwa UKAWA kupitia CHADEMA kutotumia viwanja vya jangwani kufanya ufunguzi wa kampeni za uraisi 29/08/2015, baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa na maoni tofauti:

Dk. H.Kigwangala

Hamisi-Kigwangalla.jpg

"Alichokifanya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kuwanyima UKAWA uwanja wa Mkutano wao ni hujuma dhidi ya CCM, kama taarifa hizi ni za kweli !"

"Kwa vyovyote CCM haiwezi kuwa na mkakati wa kuwanyima UKAWA uwanja wa kufanyia mikutano, maana hatuwaogopi. Km barua hii ni kweli ni hujuma"

Chanzo: Fb na Twitter ya Mhusika
 
Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza
 
Kweli wametunyima uwanja..?? Mwenye taarifa sahihi tafadhali atujuze!
 
Kweli wametunyima uwanja..?? Mwenye taarifa sahihi tafadhali atujuze!

updates hapo chini.

Husika na taarifa hapo chini.

MUENDELEZO!

Taarifa tunazozipata muda huu ni kuwa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeondoa zuio la Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam la 'kukataza' kufanyika Mkutano wa Ufunguzi Rasmi wa Kampeni za UKAWA katika Viwanja vya Jangwani, kwa maana hiyo Mkutano wa Ufunguzi Rasmi wa Kampeni za UKAWA utafanyika kama ulivyopangwa siku ya Jumamosi tarehe 29.08.2015, katika Viwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam.

Na Julius Mtatiro

(Copied somewhere, at a trusted source)
 
Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza

Okey sasa hizi rafu za asubuhi mapema za nini kama hamtuogopi,?
Kama nyie mnajiamini ni champions kwa nini hamtaki fair play?
Sisi ukawa tunataka siasa za kistaarabu cheza fair utushinde fair na sisi tutakubali matokeo.
 
Wanajikosha baada ya kona huo moto wa Lowassa hauzimiki kirahisi hivyo.
 
Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza

Endeleeni kujifariji... Leo Kinana nimesikia akisema CCM hakiponi mwaka huu na kama kitapona basi itakuwa serikali ya mseto Lowassa akiwa Rais.... Anasema Mkt wa CCM watu wasimsikilize na majigambo yake hana mikakati ya ushindi wala nini!...
 
Vyombo vya usalama angalieni....watu wengine husababisha vita taratibu kwa vitendo kama hivi
 
CCM ina serikali kwa sasa!Mpumbavu,lofa,mjinga,----, mmoja tu avuruge amani?
Kama hawajamtuma"WaMFUKUZE KAZI MARAMOJA
 
Kumekucha baada ya mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilala mapema jana kutoa barua ya zuio kwa UKAWA kupitia CHADEMA kutotumia viwanja vya jangwani kufanya ufunguzi wa kampeni za uraisi 29/08/2015, baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa na maoni tofauti:

Dk. H.Kigwangala

Hamisi-Kigwangalla.jpg

"Alichokifanya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kuwanyima UKAWA uwanja wa Mkutano wao ni hujuma dhidi ya CCM, kama taarifa hizi ni za kweli !"

"Kwa vyovyote CCM haiwezi kuwa na mkakati wa kuwanyima UKAWA uwanja wa kufanyia mikutano, maana hatuwaogopi. Km barua hii ni kweli ni hujuma"

Chanzo: Fb na Twitter ya Mhusika

Tunajuaje kama haikuwa muvi tu ya maccm kuonyesha kuwa NEC ipo huru na inaweza ingilia kati mambo haya....
 
Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza

Hamuwaogopi? Unajua kuwa CCM iliomba kutumia Uwanja wa Jangwani August 21, 22, 23? Kisha wakaomba August 28, 29 na 30. Lengo lilikuwa nini kama sio woga?
Source: Ofisa utamaduni manispaa ya Ilala
 
Endeleeni kujifariji... Leo Kinana nimesikia akisema CCM hakiponi mwaka huu na kama kitapona basi itakuwa serikali ya mseto Lowassa akiwa Rais.... Anasema Mkt wa CCM watu wasimsikilize na majigambo yake hana mikakati ya ushindi wala nini!...
mkuu mbona hii id yako ni ya zamani lakini inaonyesha kama umejiunga juzi au walimerge na id nyingine?
 
Hamuwaogopi? Unajua kuwa CCM iliomba kutumia Uwanja wa Jangwani August 21, 22, 23? Kisha wakaomba August 28, 29 na 30. Lengo lilikuwa nini kama sio woga?
Source: Ofisa utamaduni manispaa ya Ilala

Haya sasa tulisema huyo mtumiaji wa 29/08/2015 awekwe wazi tumjue. Ona sasa anaanza kujulikana taratibu, mwaka huu kila kitu kitawekwa wazi.
 
Kuwazuia chochote UKAWA ni sawa na kuwapa umarufu wa bure bila gharama zozote. Wananchi wataona kama vile wanaonewa, watawaonea huruma mwisho watawapa kura za huruma. Watanzania ni watu wenye huruma hasa pale mwenzi wao anaonekana kuonewa.
Viongozi wa serikali ya CCM wamezoe kufanya kazi kwa nidhamu ya uwogo. Hii ni kwa sababu mtendaji akionekana kutenda haki kwa vyama vyote vya siasa ama wanampa adhabu ama wanamfanyia fitina ili aonekane hawezi kazi kumbe ni kisasi cha kutowapendelea CCM. Hakuna mtumishi wa serikali anayefanya kazi bila kuwa na taswira ya nini kinatakiwa na CCM. Wanafanya vitendo hivi kwa uwazi kabisa siyo kwa siri. Kwa watu wasioangalia kiini cha tatizo watakuwa wanamuona Mkurugenzi kama ndiye mwenye kosa kumbe ni watendaji wote serikalini wanafanya hivyo kwa kuhofia rungu la CCM nyuma ya pazia. Nani asiyependa kazi halafu aje afukuzwe ati ametenda haki huku wapinzani wenyewe wsimpe chochote. Abakie mitaani na wanawe wasote na njaa?Matokeo ya kutoipendelea CCM ni mabaya na hakuna anayeyataka wakiwemo Usalama wa Taifam. Wale wasio ogopa kupambana na CCM ni wale wasio na kitu cha kupoteza
Okey sasa hizi rafu za asubuhi mapema za nini kama hamtuogopi,?
Kama nyie mnajiamini ni champions kwa nini hamtaki fair play?
Sisi ukawa tunataka siasa za kistaarabu cheza fair utushinde fair na sisi tutakubali matokeo.
 
mkuu mbona hii id yako ni ya zamani lakini inaonyesha kama umejiunga juzi au walimerge na id nyingine?

Kaka hizi hujuma za humu basi tu ngoja tukae kimya..... JF kwa sasa unatakiwa kukaa kimya tu ila ukiwa pro CCM hata utukane namna gani uwezi kula ban au Id yako kukataa kulogin...
 
Back
Top Bottom