Mwana muccobs hebu pita hapa kwa mpigamsuli

Mpigamsuli

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,885
575
mimi nimechaguliwa hapo muccobs kwenye kozi fulani sasaa nilikuwa nataka mnipe maelezo ya kuhusu hicho chuo kipo wap mjini au kijijin vp hostel zipo au ndo za manati nawasilisha by mpigamsuli(mvunja nazi kwa ugoko)
 
Ee bana chuo kipo moshi town,karibu na chuo cha police CCP na old moshi secondary, hostel zipo kimtindo but haztoshi lakn ktaa kuna vyumba vya kupanga utapata vingi tu hata kama utakosa hostel ila tu nenda na rain boot maana mvua ikinyesha hapo hakuna mauzo ni full kuchafuka tope la ugoko... Nenda kakutane na totoz za kichaga bana hapo..
 
E bwana hii college ipo town kabisa Km kama mbili hivi kutoka Stand ya mabasi Moshi mjini kipo barabara ya kuelekea Hospitali ya rufaa KCMC,Hostel hazipo za kutosha kama alivyowasilisha mkuu hapo juu,Issue ni tope wakati wa mvua hua hakufai totoz zipo za ukweli,kama mtu wa kujirusha kuna Sehemu kama Alberto,La Liga na Malindi..All in All Muccobs ni bonge la college mkuu!
Nawasilisha
 
Ila ukishuka stand ya mabasi chunga sana mzigo na mfuko wako. Kama unapenda totoz you are in trouble. Miwaya nje nje kama kwa akina nshomile.
 
Ckutarajia kama mpigamsuli na majigambo yote yale unaweza kupangwa chuo kama muccobs aisee,fanya mpango uhamie university bana.
 
Bila shaka nilichagua sehemu sahihi na nimepelekwa sehemu sahihi,pa1 sana wana mucobs 2takua pa1....pako poa lakin jaman?
 
Wana muccobs msiogope kwa matambo ya vijana na vyuo majengo,pale 2naenda kupiga msuli,ww mwanafunz uwez kuijua muccobs lkn waajiri wanaipata hata zaid ya vyuo majengo,pamoja xana.
 
Kama walivyokuelekeza wadau wengine wapo sahihi kabisa.
Angalizo tu nakupa MUCCoBS elimu yake mziki ndugu yangu asikwambie mtu and hamna corse rahisi pale so pamoja na mishe mishe zote but jiandae kwenda kusoma kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom