Mwana mpotevu mpokeeni jamani

salaam wana JF,Imekuwa ni mda mrefu sana tangu nilipotoka sasa zidi ya miezi 6 vile, nilikuwa nimetoka kwenda nchi za mbali kwa masuala ya hapa na pale.Sio siri nimekuwa nikiwakumbuka sana, ila kwa sababu ya kukosa mda na majukumu mengi ya huko nilikokuwa sikuweza kuonekana.Natumaini mtanipokea.Natanguliza shukrani!
..............Mallaba..........habari za jerusalem,.............jamvini kwema hatujambo...................2 decades agowhen VW changed tradition of making cars with engines at the back were quoted saying our engines are back in front.................so Mallabawelcome back...............................jamvi limekuwa,nasi tumejuimuika...................michango yako ni muhimu sana..................si tuu ya mawazo bali hata hizo dola ulizokuja nazo.....................siku hizi kuna mpesa,tigo rusha na nyingi nyinginezo...............tunakukaribisha kwa mikono miwili karibu sana,mgeni aje na mwenyeji apone.............karibu tena mallaba.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom