Zamu yangu narudi na chips take away Lizzy. kupika nilifeli hili somo wallahi natafuta mwalimu anisaidie japo chai tu. lol
We zamu yako hua unapika nini?
asa ntafanyaje lizzy na somo limekaa kushoto. japo ujitolee unifundishe hata kutengeneza ka omlette ili nikitembelewa na wanaJF na mimi nivae kale ka nusu gauni ka jikoni nijifanye niko busy nawaandalia wageni menu kumbe ni kukarangiza mayai ya kisasa tu! ubwabwa wa mate tayri sasa karibuni tule. ubwabwa samaki na mziki wa all 4 one kwa mbaaali.Hahahaha we mbaya kweli. Yani mwenzio anapika we unamlisha chips tu? Not fair!
Dah mwanangu perege ma** umenikumbusha mbali sana....
Kuna mmama mmoja pale kati uswazi alikuwa anapika mida ya saa kumi na moja hivi huyo utamuona na meza lake ikifika saa moja hivi kishamaliza sufulia zima...
Ila mambo ya uswazi bwana si watu wakadai kuwa eti anauza huku yupo uchi (yaani kinguvu za giza)..... so toka ametimuliwa huku uswazi perege hawaliki tena wangu.......
So umeingia kwenye deni kwa kunikumbusha perege wa uswazi lol
Mbona nyie mnakula vyakula nnavyopenda na nimemiss jamani? Sijui mmeamua kunikomoa? Haya enjoy huo wali alafu nikupe darasa umshangaze hata mate wako hapo siku moja.asa ntafanyaje lizzy na somo limekaa kushoto. japo ujitolee unifundishe hata kutengeneza ka omlette ili nikitembelewa na wanaJF na mimi nivae kale ka nusu gauni ka jikoni nijifanye niko busy nawaandalia wageni menu kumbe ni kukarangiza mayai ya kisasa tu! ubwabwa wa mate tayri sasa karibuni tule. ubwabwa samaki na mziki wa all 4 one kwa mbaaali.
jumatatu ndo zamu yangu, jumamosi na jumapili huwa hatupiki maana tunakula bar na hamna anayekuwepo nyumbani mida iyo, nitaanza kula nikishafikisha post ya 700!Mbona nyie mnakula vyakula nnavyopenda na nimemiss jamani? Sijui mmeamua kunikomoa? Haya enjoy huo wali alafu nikupe darasa umshangaze hata mate wako hapo siku moja.
Nyie wenye vimiili hivyo huwa hamnitishi kabisa....
Ah hata hivyo nshamaliza ilikuwa bondo la dona kwa samaki wa kukaanga...
Na wewe ulikuwa wapi mda wote huo??
jumatatu ndo zamu yangu, jumamosi na jumapili huwa hatupiki maana tunakula bar na hamna anayekuwepo nyumbani mida iyo, nitaanza kula nikishafikisha post ya 700!
Mbona nyie mnakula vyakula nnavyopenda na nimemiss jamani? Sijui mmeamua kunikomoa? Haya enjoy huo wali alafu nikupe darasa umshangaze hata mate wako hapo siku moja.
Nakodolea Avatar ya GOZO.........
wanasema a way through a man's heart is through a stomach!! Kweli mapishi ukiyawezea ni raha sana..
Kabisa aiseee. Alafu ukiyawezea mapishi utapenda hata kupika, maana unajua mezani watu watalamba sana vidole.
I can vouch for that!
We unajua kupika?
lol.... unanichekesha haswa mamie.
me nimeingia jf hapa nacheka na iz comment za AD.
afu wewe...
Nini tena .............
Sana tu.