Mwana JF Gani Huyu?

JF kweli KIBOKO. Yaani ulivyokuja kunitembelea hapa kwangu SIKONGE, tayari ukanilima na picha?

Sasa haya mambo ya kuanikana wazi kabisa hapa JF siyo mazuri. NAKIRI kwenye picha ni mimi Sikonge wa JF.
 
Buji buji kabisa, alikuwa mpishi wa uji katika shule ya chekechea.
 
sio mimi..?ni mzee fulani humu jf..
Huyo mbona kwenye "kamtandao" ni mgeni?
hahahahaahaha..bado nina kamba mguuni...
JF kweli KIBOKO. Yaani ulivyokuja kunitembelea hapa kwangu SIKONGE, tayari ukanilima na picha?

Sasa haya mambo ya kuanikana wazi kabisa hapa JF siyo mazuri. NAKIRI kwenye picha ni mimi Sikonge wa JF.
huyu ndiye mwenye picha hii@Bujibuji

Buji buji kabisa, alikuwa mpishi wa uji katika shule ya chekechea.
hahahahaahahahaha...kumbee eeeh
 
Bujibuji kama sio yeye basi rafiki yake wa kitonga
 
Last edited by a moderator:
aiseeee babayangu sitaki ubaya na mtu kabisa mi simfahamu huyo
 
Ki ukweli kama ni ukoko wa uji wa ulezi nimekomba sana wakati niko darasa la tatu,lakini huyo jamaa kazidi mno mkubwa sana au labda anatatizo la ugonjwa wa akili
 
Rafiki zangu hawa Rejao, Chama na ZeMarcopolo wanakula washimbe ili waweze kuhimili heat za posts hapa JF!! Ha ha ha my friends msinipige!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…