hivi mapato ya show ya jide ulipata umate mate wa sh.ngapi?
Mkuu povu linakutoka kweli kumtetea,mumeo nini?unamtetea mzee.
hivi mapato ya show ya jide ulipata umate mate wa sh.ngapi?
haaahaa mzaramo kwani kila aendaye china anapeleka dona!! Ni mpuu.zi tu anayeweza peleka unga kwa jih phing
so umeanza mwaka kwa kunitukana? If ur neutral in situation of injustice,u are on side of oppresor. Kwanini umsingizie kila anayeenda china anapeleka sembe?povu linakutoka kweli kumtetea,mumeo nini?unamtetea mzee.
si hadi akamatwe au? Unafanya fallacy of generalisation.akikamatwa ndo utaelewa km ni mpuuzi. Naona unamtetea kama vile unaishi sayari nyingine na hujui kinachoendelea kuhusu 'sembe.inakuwaje unausemea moyo wa mtu!? .
mh! Haogopi?? Kaenda piga show mkuu. Halafu jirani yako simiyu yetu yupo wapi?
mkuu hapo kwenye lile somo la logic kuna kitu kinaitwa fallacy of generalisation!! Nenda kasome hicho kpengele. Anyway unaweza nitajia angalau wanahiphop wa3 madonkey.% kubwa ya wanamuziki wa bongo ni mapunda
hajabaki kule 2013?
...kafikisha mzigo bila kustukiwa...?
nani fa or simiyu yetu? Fa anapga show leo.
niaje niaje bro!!!!
Heri ya mwaka
kwani na yeye ni donkey?
safi brother,heri nawe pia. Busara na juhudi zituwezeshe kushinda changamoto za ulimwengu. Tumalize mwaka huu tukiwa juu ya kilele cha mafanikio!!
kocha msaidizi wa yanga ambaye amewahi kuchezea chelsea ya ujerumani.
fa ndo nn