Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
...hawanaga lebo mkuu,wakishikwa ndo utashangaa,kumbe na huyu yumooo...?kwani kila anayeenda china anapeleka sembe?
...hawanaga lebo mkuu,wakishikwa ndo utashangaa,kumbe na huyu yumooo...?kwani kila anayeenda china anapeleka sembe?
Kwani na yeye ni Donkey?
mwimbie ule wimbo wa 'kama zamani" uloimwbwa na huyo uliyemkashifu hapo juu,uone kama demu wako yule hajakurudia.
...hawanaga lebo mkuu,wakishikwa ndo utashangaa,kumbe na huyu yumooo...?
Uuuuuwi!!! Mbavu zangu jama!!! Shombo kweli hujibiwa na shombokocha msaidizi wa yanga ambaye amewahi kuchezea chelsea ya ujerumani.
labda keshashusha mzig.o
uuuuuwi!!! Mbavu zangu jama!!! Shombo kweli hujibiwa na shombo
"nani atakayekufanya usimwaze nancy,hakuna binti wa aina yake,akusamehe umemkosea na arudi kwa nafasi yake" nimekusaidia mkuu.[/font][/size]
mkuu hapo kwenye lile somo la logic kuna kitu kinaitwa fallacy of generalisation!! Nenda kasome hicho kpengele. Anyway unaweza nitajia angalau wanahiphop wa3 madonkey.