Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
kwa akili yako hii sijui kama mwaka mpya utauona
bado lisaa tu! Mungu sio wema sepetu wala masoud sura mbaya so nitauona.
kwa akili yako hii sijui kama mwaka mpya utauona
kwani kila anayeenda china anapeleka sembe?
binam yakomwana-fa ndo nani?
huyu jamaa ana roho ngumu kweli mwenzie juzi tu wamemdaka yeye kaenda huko huko
binam yako
asije akawa naye ni punda
kwa akili yako hii sijui kama mwaka mpya utauona
kivip?!
hahahahahahahakocha msaidizi wa yanga ambaye amewahi kuchezea chelsea ya ujerumani.
kwa hawa wasanii wetu lazima tuwe na shaka kwa sababu wanapenda upunda
mwanafatuma yuko wapi?
anarnda kumpa pole his felowa trafficker
jina jingine anaitwa binamu yako hujaelewa nini sasa?kivip?!
mwana-fa ndo nani?
thibitisha kama fa ni punda!!