mwana-FA yuko China

mwana-FA yuko China

Wasanii wa bongo fleva acheni upunda ridhikeni na mnachokipata,msiwaige kina Diamond na Wema wao wapo nyumba ya mtoto wa mfalme! Big up mwana FA kwa kuvusha ngada hadi china bila kustukiwa safi.
 
wasanii wa bongo fleva acheni upunda ridhikeni na mnachokipat! Big up mwana fa kwa kuvusha ngada hadi china bila kustukiwa safi.
acha kukatisha watu tamaa. Mtu asiende china kufanya show mnasema anapeleka ngada.
 
Officially yuko china kuwaburudisha watanzania na waafrika wengine walioko china.
Ni show tu!nothing less nothing more!

Sasa mbona unajishtukia na kujihami..?
 
kocha msaidizi wa yanga ambaye amewahi kuchezea chelsea ya ujerumani.

Wacha kumdanganya mwenzio wewe,

Mwana FA ni bondia wa ngumi za kulipwa mwenye historia pekee ya kumpiga Francis Cheka
 
Back
Top Bottom