warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,382
Huyu jamaa aache kujipambanisha na jide,kwanza hata tuzo ya kushirikishwa ajapata,sasa anapiga makelele ya nini??,kama yeye anajiona bora sana si angepata tuzo ya mwana hip hop bora???,mwana fa hana lolote yeye ndo kafulia na akabidhi kijiti,amwache jide aendelee kulamba tuzo,yani juzi kaishia kusindikiza watu walioshinda tuzo,sijui alikuwa anatak aonekane au vp,lady jaydee is the best,kama wewe ungekuwa una mashabiki sana au ni mwana hiphop bora ungeambulia hat tuzo ya kushirikishwa,yaani hat tuzo ya kusingiziwa kakosa afu unatak kupambana na mwanamke mpambanaji,tena mshukuru sana jide kwa kukupa chati kwenye ngoma zako kama ALIKUFA KWA NGOMA,HAWAJUI,MSIACHE KUONGEA na nyingine nyingi tu badala ya kushukur umepandishwa chati na wewe umeonekana unaanza kuleta mambo ya kijinga,kwanza fa nyimbo zake nyingi zilizobamba ni za kishirikishwa yeye peke yake hanogi kabisaaaaa angalia HABARI NDO HIYO na YALAITI,yaani huy kashazoea kubebwa na sasa kabebwa na clouds yaani ndo balaa,huyu jamaa sijui yukoje,amueshimu sana jide