Mwana fa tuzo yako iko wapi???

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Huyu jamaa aache kujipambanisha na jide,kwanza hata tuzo ya kushirikishwa ajapata,sasa anapiga makelele ya nini??,kama yeye anajiona bora sana si angepata tuzo ya mwana hip hop bora???,mwana fa hana lolote yeye ndo kafulia na akabidhi kijiti,amwache jide aendelee kulamba tuzo,yani juzi kaishia kusindikiza watu walioshinda tuzo,sijui alikuwa anatak aonekane au vp,lady jaydee is the best,kama wewe ungekuwa una mashabiki sana au ni mwana hiphop bora ungeambulia hat tuzo ya kushirikishwa,yaani hat tuzo ya kusingiziwa kakosa afu unatak kupambana na mwanamke mpambanaji,tena mshukuru sana jide kwa kukupa chati kwenye ngoma zako kama ALIKUFA KWA NGOMA,HAWAJUI,MSIACHE KUONGEA na nyingine nyingi tu badala ya kushukur umepandishwa chati na wewe umeonekana unaanza kuleta mambo ya kijinga,kwanza fa nyimbo zake nyingi zilizobamba ni za kishirikishwa yeye peke yake hanogi kabisaaaaa angalia HABARI NDO HIYO na YALAITI,yaani huy kashazoea kubebwa na sasa kabebwa na clouds yaani ndo balaa,huyu jamaa sijui yukoje,amueshimu sana jide
 
mwanahamisi mwinjuma aka mwanaFatuma anafackisha kinoma mjini sasa ivi zarau kila kona...alafu alivo mbwiga anajiona huo ndio utoto wa donta kufukcisha
 
huyu tupa kule ameshatumika hana faida tena yupo kama mabua ya mahindi.
 
Vilaza oyeeeeeeee!! Mnakasirika nn sasa ikiwa mnazungumza msivyovijua? Elimu isipokusaidia basi jiandae na mzigo wa ujinga, Dar es salaam ina wakazi wengi saaana na kila mtu anafanya muziki wa mahadhi yake na mashabiki wake ya nn kukashifiana kutoleana maneno ambayo wewe mwenyewe huwezi furahia ukisikia mwanao akimwambia mtoto wa jirani?
Kwa kile alichokuwa aki tweet Jd Jaydee jumapili mashabiki vilaza na wasio kuwa na mtazamo chanya watasaport na kumuona dada yao anajua sana kuongea ila kwa wachache tunaotazama mambo katika mtazamo chanya hatuwezi ruhusu hata wanetu wamshabikie mtu asiyejua thamani yake kwa jamii.

Weeee kilaza tukana ropoka uropokavyo watu wastaarabu lazima tukasikilize mziki mzuri mahali patulivu kwa watu wastaarabu.

We keep the good music alive.
##THE FINEST##
 
Aaaaah aaah aah... Af anataka shindana na jide wakati ana sickle cell anaemia..

jaman jaman temeni mate chini yaani mmemkashifu mwenzenu kwenye mziki mmeanza kuingilia hadi afya yake? Kwan mwenzenu alipenda? Plz muache hiyo tabia dunia tunapita msisahau Leo kwake kesho kwenu tena uskute hamjazaa bado, mungu na awasamehe
 
Ndo aache kujifanya anajua sana,afya yenyewe mgogoro af anajifanya mbuzi wakati kuku
 
Mwana Fa inabidi hatulie tu maana wafu wanambeba halafu wanatupa kule sasa ajiangalie sana aisee, akumbuke alipotoka aache kuburuzwa na wanaume wenzake.
 
Mwana FA ni msomi .. hawezi kubishana na mtu looser kama jide..

Mtoa mada ya kwako ipo wapi..?
 
Mwana FA ni msomi .. hawezi kubishana na mtu looser kama jide..

Mtoa mada ya kwako ipo wapi..?

Jide anamiliki mgahawa classic wa NYUMBANI LOUNGE,ambao kaajili wafanyakazi lukuki,anamiliki band ya MACHOZI BAND,ana ma coaster kama matatu kwa ajili ya band yake,ana miliki mjengo wa maana uko mbezi kimara,kama unaangaliaga daily ya jide utakuwa umeiona,na sasa yupo kwenye mchakato wa kufungua radio station yake binafsi,aya huyo bwana wako FA anamiliki nini apa mjini???,kazi kujipendekeza kwa wanaume wenzie tu na ni wasi wasi kashafunguliwa kizibo na ruge
 
Mwana Fa inabidi hatulie tu maana wafu wanambeba halafu wanatupa kule sasa ajiangalie sana aisee, akumbuke alipotoka aache kuburuzwa na wanaume wenzake.

Analeta jeuri mjini wakati hana kitu,nilitaka nimuombee kazi hata ya u SECURITY GUARD pale nyumbani lounge ila anajiona mjanja,mwache aendelee kujipendekeza kwa wanaume wenzie,ataona malipo yake...
 
Jide anamiliki mgahawa classic wa NYUMBANI LOUNGE,ambao kaajili wafanyakazi lukuki,anamiliki band ya MACHOZI BAND,ana ma coaster kama matatu kwa ajili ya band yake,ana miliki mjengo wa maana uko mbezi kimara,kama unaangaliaga daily ya jide utakuwa umeiona,na sasa yupo kwenye mchakato wa kufungua radio station yake binafsi,aya huyo bwana wako FA anamiliki nini apa mjini???,kazi kujipendekeza kwa wanaume wenzie tu na ni wasi wasi kashafunguliwa kizibo na ruge

jide anamiliki mgahawa classic wa NYUMBANI LOUNGE,ambao kaajili wafanyakazi lukuki,anamiliki band ya MACHOZI BAND,ana ma coaster kama matatu kwa ajili ya band yake,ana miliki mjengo wa maana uko mbezi kimara,kama unaangaliaga daily ya jide utakuwa umeiona,na sasa yupo kwenye mchakato wa kufungua radio station yake binafsi,

you cant compaire vitu vyote hivo na education... hivo vitu vinaweza vikawaka moto akaanza from a scratch lakini mtu mwenye elimu yake ni yake mpaka pale mungu atakapomuita

aya huyo bwana wako FA anamiliki nini apa mjini???

una assume jinsia za watu probably we mgeni humu JF so plz B!tch watch ya mouth ii erase u like a drew u ..

kazi kujipendekeza kwa wanaume wenzie tu na ni wasi wasi kashafunguliwa kizibo na ruge

you are obviously a confused girl who doesn't understand the game (Music Industry) .. do us a favor stay in kitchen & leave this to MEN
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom