Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Oct 31, 2012 #1 wasalaamu, kutokana na mashindano ya kumsaka miss chitchat naomba kura zenu kwa Arabela nipochinii ya miguu yenu,naomba sana
wasalaamu, kutokana na mashindano ya kumsaka miss chitchat naomba kura zenu kwa Arabela nipochinii ya miguu yenu,naomba sana
Mzee wa Rula JF-Expert Member Oct 6, 2010 8,171 3,346 Oct 31, 2012 #2 kila mshiriki atakula kwa nguvu zake, kama akibebwa anajishikiria usihofu chaliiiiii yangu vinginevyo imekula kwake.
kila mshiriki atakula kwa nguvu zake, kama akibebwa anajishikiria usihofu chaliiiiii yangu vinginevyo imekula kwake.
Asnam JF-Expert Member Jan 18, 2012 4,256 2,944 Oct 31, 2012 #4 naona umeanza kuandaa mazingira ya corruption ni sawa na mama Salma Kikwete kumkampenia mumewe lol huna kampeni meneja?,PCCB where are youhwell:
naona umeanza kuandaa mazingira ya corruption ni sawa na mama Salma Kikwete kumkampenia mumewe lol huna kampeni meneja?,PCCB where are youhwell:
Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Oct 31, 2012 Thread starter #5 Ruttashobolwa said: Wakati ndio sasa Click to expand... naaam.........tupe hiyo kura
Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Oct 31, 2012 Thread starter #6 Asnam said: naona umeanza kuandaa mazingira ya corruption ni sawa na mama Salma Kikwete kumkampenia mumewe lol huna kampeni meneja?,PCCB where are youhwell: Click to expand... kura kwa Arabela Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Asnam said: naona umeanza kuandaa mazingira ya corruption ni sawa na mama Salma Kikwete kumkampenia mumewe lol huna kampeni meneja?,PCCB where are youhwell: Click to expand... kura kwa Arabela
Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Oct 31, 2012 Thread starter #7 Mzee wa Rula said: kila mshiriki atakula kwa nguvu zake, kama akibebwa anajishikiria usihofu chaliiiiii yangu vinginevyo imekula kwake. Click to expand... kura kwa Arabela Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mzee wa Rula said: kila mshiriki atakula kwa nguvu zake, kama akibebwa anajishikiria usihofu chaliiiiii yangu vinginevyo imekula kwake. Click to expand... kura kwa Arabela
W Wajad JF-Expert Member Jul 20, 2012 1,321 604 Oct 31, 2012 #9 Hiyo mikono mbona ni mitupu? Hujui kwamba mikono mitupu hailambwi?
Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Oct 31, 2012 Thread starter #10 Wajad said: Hiyo mikono mbona ni mitupu? Hujui kwamba mikono mitupu hailambwi? Click to expand... mi sitaki kulambwa bwana naomba kura kwa Arabela Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wajad said: Hiyo mikono mbona ni mitupu? Hujui kwamba mikono mitupu hailambwi? Click to expand... mi sitaki kulambwa bwana naomba kura kwa Arabela
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Oct 31, 2012 #11 Kura zote kwa cacico, Yummy, BADILI TABIA, Kongosho, Konyagi, Guinness, guest house na hotel room. Mpaka kieleweke. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kura zote kwa cacico, Yummy, BADILI TABIA, Kongosho, Konyagi, Guinness, guest house na hotel room. Mpaka kieleweke.
Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Oct 31, 2012 Thread starter #12 Asprin said: Kura zote kwa cacico, Yummy, BADILI TABIA, Kongosho, Konyagi, Guinness, guest house na hotel room. Mpaka kieleweke. Click to expand... ha,ha,ha.....uko wod gani?
Asprin said: Kura zote kwa cacico, Yummy, BADILI TABIA, Kongosho, Konyagi, Guinness, guest house na hotel room. Mpaka kieleweke. Click to expand... ha,ha,ha.....uko wod gani?