Mwamvita Makamba: January hahusiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni

Hii ngoma kali. Inahusisha ngono kati ya dada mweusi na mzungu, fedha za ngono kutumika katika siasa ( au ndiyo mahari?), na kukanusha kwingi, kama vile mambo ya mzee Berlusconi! Real life drama! Wapiga kura wa Bumbuli wana msamiati wao- wakiudhishwa na mwakilishi wao husema AONDOWE, ndivyo walivyompiga chini Willy Shelu mwaka 2010.
Kwa hili na kumuinulia kisigino mfadhili wake mkuu katika siasa JMK katika gazeti la wawekezaji Makamba asingoje kuenguliwa ajitoe haraka-mpunguzie kazi JPM.
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba

KIKULACHO KINGUONI MWAKO, WE SISTER YAKE NDIO UTAMWONDOA KAKA YAKO, KAMA UMEZOEA MADILI KWANINI USHIRIKISHE NDUGU ZAKO..ONA SASA MUITALIANO KANOGOEWA NA PENZI MPAKA KAHONGA MILIONI DOLA SASA UMEMTEMA ANATAKA DOLALI ZAKE, NWAYS HAKUNA BARABARA ISIYO NA MWISHO, OMBEA TU IWE NI U TURN NA SIO UKINGONI
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba

KAMA DALALI MLIPOKEA PESA ZAKE ZA NINI??? HAPA NI KUTAPATAPA TU, ZA MWIZI AROBAINI, MLIWACHEZEA SHARUBU WALIOPITA BANA, KODI ZA WANANCHI ZINAPIGIWA DILI TU
 
Una pinworms wana kuwasha wewe. Umetumwa pasipo maarifa, maana mmeibuka tu na kucomment hata vitu ambavyo haviendani na kinachozungumziwa. Makamba atawanunua na huenda ataishia na kuwafanya kitendo kibaya na mwisho wa siku heshima yake na uaminifu wake kwa watanzania walio wengi utaishia kuwa zero. Sio kila jambo baya lapelekwa Mahakamani.
Kwamba jamaa ana pinworms!!??Hawa side effect yao wanafanya kipenyo kiwashe?
 
Naanza kuhisi siku za maropezi kukalia hiyo nafsi zinaanza kuhesabika! Hi kitu imeisha mkalia vibaya sana. Yale yale ya Ombeni Sefue
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba

Shiiit! Oh! slip of the tongue! How are you?
Hawa, Mwanvita na Januari wote ni failures wa racket. Ukimsikiliza Januari anasema dada yake alimtambulisha huyo mzungu kwake walipokutana Dubai. Hapa tena Mwanvita anakataa kwamba Januari hafahamu, hahusiki, nk. wakati huo huo Januari alikuwa akionyeshwa hata SMS za matusi ya muitaliano kwa Mwanvita.

Mh. Magufuli, tafadhari naomba kazi kama MchunguZI ninayejitegemea ili nikupe taarifa kamili kabisa juu ya web hii ambayo nitainyoosha tu!
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba

Team Lowassa ipo kazini.
Uchunguzi unafanyika Kama team Lowassa kasema kweli JIPU litumbuliwe hadharani.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Okay, nilizisikiliza ni kama nahoji kweli wake. Sasa napata uhakika kuwa kuna ukweli ndani yake. Asante Mwanvita
 
Poleeeee samakki poleeeeee.... Wanavyokufaaanyaaaaa poleeee Samaki.

Sijawahi kuwaamini January Makamba na Zitto Kabwe kwa lolote lile....
Sasa ukisikia wafitini Ulukolo kwi tanga upo, maana hao vijana wanawatisha watu wasio jielewa.
 
Screenshot_2016-03-07-23-30-10.png
swissme
 
Kwani ulitegemewa kusema nini.Huyo si kaka yako lazima umtetee.Hata hivyo kwa mawaziri wa Kikwete that was expected.Like father like son.
Rais, waziri mkuu, na mawaziri wakuu wote walikua ktk system ya Kikwete whether direct or indirect sasa sijaelewa like father like son unamaanisha nn
 
hivi hili soo linaweza kuisha hyu makamba jr ajahukumiwa kufukuzwa?
Hii issue haiwezi kumalizika bila Jan kunyooshwa. Hata magamba wenyewe wanajua na ndio maana wazee wao wanapishana tu kwa Magu kumuomba asimtumbue.
Kwa kijana wa miaka 40 kama Jan kumiliki jengo la ghorofa sita pale Kariakoo inaonesha wazi kuwa usafi wake una utata. Ona kasign makubaliano ya kulipa USD 1M za Mtaliano, zitatoka wapi?

Ova
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba

Ruge rafiki yake mkubwa naona kaanza zoezi la kuwasafisha kupitia radio yake , lakini Ukweli huyo mzungu alikuwa na pesa nyingi si Tapeli wala hasaki Kiki Bali anatafuta haki zake alizotapeliwa , kumbuka hii si mara ya kwanza January kutapeli watu amewahi kumtapeli Mh Sugu pia alipiga pesa za kampeni bilion 1.7 huo utetezi wa mwanvita hauna mashiko apeleke kwa wajinga lakini wengi wanajua kila kitu hawadanganyiki kabsa.
 
Back
Top Bottom