Mwamvita Makamba: January hahusiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni

n
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba


ni kisa cha mdada la mujini na braza. sasa anamtolea nani matongo..teh teh
 
Makamba kamnyima kimambi mgao wa ufisadiv...kimambi kamua kumuanika
Kimambi anatafuta hela, hii issue sio mpya hapa, iliishaletwa na evidence zote za emails za mwanvita na hao mabwana zake.

Back 2014/15
 
@Regrann from @mangekimambi_ - Okay Jibu tumelisikia. Tulikuja tumejipanga! So what lie is this??? Stay tuned! .
This saga just started! Give me a few days nimalize holiday nirudi Los Angeles then nipresent the evidence in a proper professional way! The blog is coming back up Ili clips ziwe zinacheza full! Plus screan shots za emails! .
.
Ni hivi, soon huyo Mwamvita hatoongea Na media yoyote ile! The evidence will speak for itself! Their personal relationship , yeye na mlalamikaji has nothing to do with the evidence that will be presented out here!! .ni kama evidence niliyoweka Leo, Hivi haya maongezi yanahusiana nini na wao kuwa wapenzi?? Seriously? Listen to these clips again? Wasipoteze lengo! .
.

Again I'm getting the backlash kuwa we were once close friends, I shouldn't do this! Listen guys, kakake aliponiweka ndani mlienda kumkumbusha Mwamvita Kuwa Mange was once your friend Mwambie kakako amtoe Au Mwambie kakako asimsumbue Mange ? Mbona Ndo kwanza walikuwa wananicheka na kutuma Waume zao walete viuno vyao pale Oysterbay wahahakikishe nalala ndani?? mmesahau mume wa Kiki, Yule Maliq alikuwa pale Oysterbay Police anafurahi nimelalala ndani? That time mlisahau kuwakumbusha wasinitese coz we were once friends? Leo nimeletewa issue Yao Ndo mnanikumbusha Mimi eti niache coz they were once my friends???? They were ready to see me go to jail, mngeniCha tu! Uzuri Ni kwamba Mimi siongei chochote wala si tiii chumvi all I will do is present the evidence then tuone serikali yetu itachukua hatua gani! Maana manesi Sasa Hivi wanafukuzwa Kazi Kwa kuuza gloves za Shingi 500, Juzi Waziri Mkuu kamfukuza Dr Kazi Kwa kuchukua rushwa ya laki moja Ili amfanyie mgonjwa Operesheni lets see hawa waliokwapua mabilioni watafanywa nini!
.
.
By the way silipizi kisasi , this is me being a great citizen! Angekuwa Mtu mwingine ningefanya Hivi hivi, but the fact that walishangilia shida zangu has made it easy for me to stand up and make sure Watanzania wanaujua ukweli......mnanijua Jamani hii issue ningeletewa hata Kama ingemuhusu kiongozi gani serikalini ningeilipua tu! It has nothing to do with my past association with them. [HASHTAG]#Regrann[/HASHTAG]
Daaa haaa this shit is deep
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba


Mungu ni mwema sana
 
Unahitaji councelling ya kisaikolojia mdada, hivi unamme? Je conection yako na hyo xboy wa mwamvita ni ipi? Ilikuwaje akakutumia ww? Njoo na evidence zoteeee unazozijua, ila hakuna ukwel wowote ni mambo ya mapenzi ambayo wanaojua ukiamua jambo kwa sabab ya mapenzi huwezi kupata solution..

We kukuluka weeeeeeee ukitua mimb.a labda uwe huna haja nayo

Shame on you. Haujui account za Mange ukaenda kumjibu hata namba yake ya simu anaianika wazi. Katolee povu far away from me. Full Ukichaaa

Na ni vizuri anawakomaza, mfyuuuuuu zako.
 
Poleeeee samakki poleeeeee.... Wanavyokufaaanyaaaaa poleeee Samaki.

Sijawahi kuwaamini January Makamba na Zitto Kabwe kwa lolote lile....
 
Hawa wasambaa nao kumbe wachafu hivi....!! Hii nchi hii.......!!! Mungu aingilie kati.
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mwamvita Makamba

Swali kama hili lilikuwa muhimu sana kama January angejiuliza kabla hajapokea pesa kutoka kwa dada yake zilizochangwa na "Tapeli wa Kiitaliano". Makamba akiwa waziri mwenye dhamana ndani ya serikali na Mbunge alipaswa kujua kuwa hatakiwi kupokea pesa chafu, pesa kutoka kwa watu ambao record yao inatiliwa mashaka. January kwa Kinywa chake mwenyewe jana kwenye interview na Adam anajibu huyo aliyemchangia pesa ni 1. Tapeli, 2. Muuza madawa ya kulevya, sasa tukisema Waziri Makamba alishiriki kutakatisha pesa chafu za madawa ya kelevya na utapeli kwa kuziingiza kwenye Mfuko wa maendeleo Bumbuli tutakuwa tunakosea? Je Makamba alifanya uchungunguzi na kujiridhisha kuwa yule bwana alistahili kumchangia?
 
nenda kashtaki mahakamani basi we taahira hizo ela aliyepewa ni dada yake kwa biashara zao na mzungu january hahusiki popote acha kuwa mpumbavu
Bigonzo naona unajibu kila bandiko kwa jeuri, au wewe unetumwa na dogo nini kumjibia humu? Hata hoja huna,
 
Naanza kudhani hawa watoto wa mzee makamba hata hizo ajira za voda na kusoma walipitia deal deal. Ndio maana mwenye asili haachi asili.
Reference ukaribu wa mwamvita,january na radio ya mawingu
Bongo movie na wasanii wengine wengi wa mjini
 
Uzi wa kwanza kuhusu waziri wa Magufuli,nilishauri ingekuwa busara kwa JM Ku step down as far as kuna allegations against him. Huko kwa wenzetu,waziri hapaswi kuwa na tuhuma za aina yoyote na ikiibuka tu,lazima aachie nafasi.
Mwamvita na kaka yake wamedhihirisha madai yaliyotolewa ni ya kweli kwa 80% japokuwa Mwamvita sijui kaona waTz ni wajinga kiasi gani kuchukua personal life yake kuja kuijadili humu JF. Madai haya ni makubwa sana tena kwa waziri Wa serikali,bora tuhuma zingekuwa zinamuhusu mbunge kama mbunge,ila ni waziri tena alikuwa kwenye tano bora za urais wa ccm.
Wapo watu naona wametumwa kuja kuokoa jahazi,lakini nawashauri wavumilie kwanza huo ushahidi wa mwisho ambao mtoa taarifa ameahidi kuutoa tuone lakini mpaka hapa palipofika na waziri anakiri kuwa alikuwa anaombwa kumkutanisha na katibu mkuu Omary Chambo,unapata picha kuwa kuna ukweli ndani yake.
Sinema hii imeanza,ngoja tuone mwishowe kama steling atakufa na kufufuka au atakufa moja kwa moja
 
Back
Top Bottom