Mwamvita Makamba: January hahusiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
924
1,096
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba

Mwamvita Makamba....

Naanza kumwamini Kimambi. ...!
 
Back
Top Bottom