Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe


mkuu tweeter handle yake ina m-present yeye kama mwanvita makamba a.k.a mtoto wa kitanga na sio PR wa taasisi flani.she was ryt to tweet with such a standard remark cos "mabuzi" ndo kimbilio la wadada wengi wa mujini.kwenye upunda inawabidi tuu ila sio eneo lao.
 
Mbona hao mabuzi, wengi wao ndiyo wauza sembe, kwani huyo jack, bahasha wake si ni fundikira ambaye naye yumo.
Sasa utachuna buzi liuza sembe halafu unusurike kufanywa punda, mwanvita nae huwa anakunywa maji ya chooni
 
Mbona hao mabuzi, wengi wao ndiyo wauza sembe, kwani huyo jack, bahasha wake si ni fundikira ambaye naye yumo.
Sasa utachuna buzi liuza sembe halafu unusurike kufanywa punda, mwanvita nae huwa anakunywa maji ya chooni

mkuu samahani bana! mi si mwenyeji sana w haya mambo! hivi kunywa maji ya chooni ndo kufanyeje?

halafu hivi huyu fundikira ndio nani? mi mbona sina idea nae kabisa?
 

Unapojitambulisha kwenye public sphere kama Mwamvita Makamba, huku umeajiriwa kama Mwamvita Makamba huyu huyu, hakuna kitu utakachofanya publicly kama Mwamvita Makamba ambacho hakiwezi kuathiri na kuunganika na your professional profile.

Ningeelewa separation ya private/ public kama maneno haya angekuwa anayatoa na shoga zake in the confines of her home, privately. Ningemuona mnafiki kwa zile kelele zote za vita dhidi ya UKIMWI, lakini ningeona private/ public separation ipo.

Mtu kaenda twitter, ka tweet for the whole world to see, how do you expect anyone to grant her any measure of privacy.

Umemuona huyo mtu wa PR mwingine aliye tweet kwamba anakwenda South Africa na kubeza SA kama pango la UKIMWI?

Wamemfukuza kazi.

No "private profile" argument pale.

Kama angetaka privacy angejisajili na an anonymous profile.

Watu wana kazi zao zinazotaka a high level of professionalism, trust is what matters the most, sasa leo umekuja kiofisi unasema kampuni yetu na watu wake wako dedicated kupiga vita UKIMWI, kesho unaenda twitter unasema kuwa na vibuzi poa tu, watu wenye zero tolerance wanakuona unacheza, wanakupiga chini.

Kibongobongo kuona hii kama issue si rahisi kwa sababu si tushazoea integrity inaoza mpaka watu wanakuua kama Mabina, na bado unazikwa kwa heshima zote za chama na serikali.
 
mkuu samahani bana! mi si mwenyeji sana w haya mambo! hivi kunywa maji ya chooni ndo kufanyeje?

halafu hivi huyu fundikira ndio nani? mi mbona sina idea nae kabisa?

google fundikira !
 
Alikuwa wapi siku zote mpaka tatizo linakuwa kubwa?
 
Alikuwa wapi siku zote mpaka tatizo linakuwa kubwa?

alikuwepo mkuu basi tu unajuwa wabongo kwenye matatizo ndio wanasafishia nyota!

kwa jinsi alivyoandika, inaonekana alikuwa anamponda bidada mwenzie badala ya kumpa ushauri nasaha!
 
Mmmmh na mabuzi pia si mchezo salama kabisa mwisho wa siku unajibebea maradhi...alafu kuna mabuzi hayachuniki hata kwa vigae

Bora hata niuze maandazi na chapati farkhina mie...lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

haya yule waziri na mtumishi mwingine wa umma nendeni na huko china ili kuhakikisha jack anapata haki zake kama mlivyofanya kwa masogange na melisa huko south africa
 

Kwani huo Unga katumwa na nani? ...
Na mbona kila kukicha wanakamatwa wasafirishaji tuu wenye mzigo wako wapi?!

Hiyo ni hadithi tu toka kwa bint Makamba,walau na yeye ajulikane ni mtt wa Mzee Jusufu.
 
Natamani sana niwajue wanaowabebesha huu ujauzito wa sembe!
Aisee siku wema ama diamond wakikamatwa itakuwa noma sana!

"watoto wetu.wanauza unga na hawamakatwi" Juma Kapuya(2013)
 
Kuna uzi uliwekwa hapa wa jinsi wanavyoyaingiza hayo madude tumboni, nadhani aliuleta Dr MziziMkavu mie nilijionea shida kuusoma wote.

kwani wanaingiziwaje haya madude matumboni mwao!?

na process za kutoa zikoje jamani?
 
Last edited by a moderator:
Kuna uzi uliwekwa hapa wa jinsi wanavyoyaingiza hayo madude tumboni, nadhani aliuleta Dr MziziMkavu mie nilijionea shida kuusoma wote.

BAK tuwekee link tujifaidie.Nlipataga deal la kupeleka bangi sijui Italy nimesahau nchi.Malipo usd 8000 teh teh watoto wa k.koo na ilala wana mambo.Nliogoba mie
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…