Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Sembe kilo1 na Nusu wanabeba tumboni ila chips kavu hamalizi sahani.
 

Kimalaya tu hicho na ndo maana kinatoa ushauri wa kuendekeza umalaya. Na hapo ndo kimefikika ukomo wa uwezo wake wa kufikiri.

Let's face it, kuwa na buzi na kuwa streetwalker, kimsingi kuna tofauti gani?
 
Kimalaya tu hicho na ndo maana kinatoa ushauri wa kuendekeza umalaya. Na hapo ndo kimefikika ukomo wa uwezo wake wa kufikiri.

Let's face it, kuwa na buzi na kuwa streetwalker, kimsingi kuna tofauti gani?

Kuwa buzi at least mtu aweza olewa but sembe ni balaa, wether ni harlot or chauvinist she deserves to express herself! Wangapi wametoa statement tata na hawajafuatiliwa? Sometimes u shouldnt be biased just becaused the statement came from a woman
 
Kuwa buzi at least mtu aweza olewa but sembe ni balaa, wether ni harlot or chauvinist she deserves to express herself! Wangapi wametoa statement tata na hawajafuatiliwa? Sometimes u shouldnt be biased just becaused the statement came from a woman

Hivi ni nani kasema hana haki ya kutoa maoni yake? Nani kasema yeye hastahili kutoa maoni yake? She is entitled to her opinions (on whatever it may be) just as we are entitled to ours.

And I am not biased just because the comment came from a woman. No, that's not it even for one millisecond. I just call it as I see it and if you happen to not like it you have two choices; either sound off or keep it moving.

But no one is saying that she shouldn't say what she said (at least not I) or that she shouldn't think like she did. She has the choice to keep her opinions and thoughts to herself.

But the moment she goes public with it then it's fair game for all and sundry to opine anything on it.
 

Now who would object to this?
 

Mwamvita anazaliwa baba yake Mzee Makamba ni Mwalim shule ya Msingi Kalinzi-Kigoma!Baadae akachaguliwa kwenda Jeshi Monduli then akaanza mambo ya siasa!

Akina January raha wamezipata ukubwani tu na January mwenyewe mara nyingi tu kasema kuwa alipokuwa anaishi kwa bibi yake Bukoba vijijini jioni alikuwa anamsaidia bibi yake kuuza"lubisi" kilabuni
 
mi nadhani haya mawazo ni ya kwake binafsi wala c ya vodacom,

Hakuna niliposema kwamba haya ni mawazo ya Vodacom, that is not part of issue.

The issue is why would an officer experienced in PR make such controversial remarks? There is no privacy on twitter, why advise girls to w.hore, basically, when that was totally unnecessary?

nnchojaibu kuona ni kwamba, mrs makamba ameumizwa sana na hii ishu ya madawa ndo maana aka suggest njia nyingine ya kuwa na buzz

Ever hear of the expression "two wrongs do not make a right"?

Mabuzi ni janga, sembe ni janga, kwa nini kukataa janga moja na kukubali lingine?

ambayo pia nayo ni mbaya, ila alitaka umma uelewe kwamba kukamatwa na sembe china ni sawa na adhabu ya kifo. but ukiwa na mabuzi then ukapata HIV at least u will last longer

Mabuzi hayaleti HIV tu, unaweza kupigwa risasi na wenye waume zao.

Don't trivialize a serious issue just because some intellectually lazy hanger on couldn't think before tweeting.
 

Angeweza hata kusema jiandikisheni ustawi wa jamii mkachunguzwe akili na kuangaliwa mnawezaje kusaidiwa.

The point is, she did not have to advocate w.horing.

Hivi hawahawa wanawake ndio kesho watakuwa viongozi na kutaka usawa na wanaume huku wanajishaua kukubalisha wenzao umalaya kwa visingizio vya kipuuzi tu?

Wanaume wakiwatumia na kuwatupa kama condom mtalia?
 
Utasikia miaka ijayo nae ni mbunge au raisi wa hii nchi
 
Mkuu kwa jinsi upepo unavyoenda, halafu pia akiwa anapewa support na papuchi, ubunge ni given kama atataka ama kupewa tu kwa lazima akalale lale dodoma!
Halafu pia, jinsia yao katika nchi hii iko lowly educated, hivyo wakiona kiumbe kama hiki kinataka nafasi serikalini, watampa tu bila kufikiria nini kilichoko kichwani mwake!
Viongozi wengi wa nchi hii wana elimu kubwa kubwa tena wameipata katika chuo kikuu kabisa hapa Tanzania, lakini matunda yao ni machungu kama shubiri!
Hakika kama nchi hii ingeongozwa na rais mwenye sifa kama muammar G, tungelikuwa mbali sana katika nyanja zote za kimaendeleo!

Utasikia miaka ijayo nae ni mbunge au raisi wa hii nchi
 
Sikutegemea kabisa wewe lara 1 upinge alichosema #mwamvita .

Wanawake wengi mjini hapa wana vipato vyao vizuri, lakini bado wanaona kuwa na mabuzi (sio buzi) ni fahari sana kama kumiliki hummer na tdi!
Wakati mwingine ndio maana wahenga walikuwa wanakataa kuwasomesha watoto wao wa kike! Yani wanaharibu sifa nzima hata ya wale waliobakia kwenye jamii yetu!

Mumache Mwammy wa watu! ETI ANABEBWA??????? Ile tenda ya kuwacomvise GVT watumie voda mnaiona ndogo career wise!!!!!!!!?

Hayo ni mawazo binafsi na HALALI kabisaa kwetu sie GET RICH OR DIE TRYING!!!!!!!! Nyie waoga na wema mtulie kama MNANYOLEWA!
 
Last edited by a moderator:
amna kosa kwa alichokiandka "MARA MIA BUI KULIKO SEMBE",ITS TRUE..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…