Kuna vitu kibao visivyo controversial watu hao wanaweza kufanya, kwa nini kashauri mabuzi?
Fundi haonekani kwa maneno bali vitendo,,,
Hela ya kunipa ww huna save iyo hela mnunulie mkeo walau lace wig nae aonekane mujini.
mpe bure basi kama hana hela
Njoo unichune mimi
I wonder if that's what she teaches her daughter......that if she can't earn an honest living then she is better off being a gold digger than a drug mule.
Downright pathetic!
ashukuru kuzaliwa kwenye Loyal Family.....
Kwa staili hii who will our kids role models be?
]Hahahaaa! Naomba niwaulize Arushaone, Tonykp na 'Valentina' maana ya hiyo kauli!
Jamani ni soga tu imepita!
Kwani royal famile bila kuwa na walau vyeti si angesanda? Na alishatumiaga uchumi binafsi kukwea ngazi voda.