Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,862
Mwamvita makamba, kupitia ukuta wake wa twitter,

amepost haya kuwaasa wadada kuhusu sembe..

Girls:

Kama huna akili- hujasoma na huna kazi,

Kama ni mvivu na sio mbunifu,

Mpenda dezo na huwezi honest living,

mara mia 'buzi' sio sembe!.

------

Mwamvita ametoa ujumbe huu mkali baada ya mwanadada mwenzie #jackie-cliff kukamatwa na sembe huko china

muda si mrefu!

Habari zilizoko kwenye mitandao mingi hivi sasa zinathibitisha kuwa, mrembo huyu pichani, yuko mikononi mwa wachina

wenye hasira kali dhidi ya wachafuzi wa afya za raia wao, baada ya kudakwa na kilo nzima ya unga!!


521604_10200460458374476_1433495386_n.jpg


kazi kwenu wadada (na hata wakaka pia) mnaopenda maisha ya steep slope!!
 
hivi ni akina nani jamani wenye hawa 'punda' hapa mjini?

dar raha, kidogo tu, we milionea!!
 
Hakuwahi kuwa kinara kwenye kampeni za UKIMWI huyu?

Sasa anahalalisha mabuzi?

Why set such low standards?

Sembe inaua, ngoma inaua, sasa kwa nini kuhalalisha moja na kujifanya kushikia bango jingine?

Mara mia angekaa kimya, kwani lazima aseme?

Huyu ni mtu aliyefanya kazi za PR kwenye makampuni ya kimataifa!
 
Kwakweli...hakuna cha bora ila angesema kidogo afadhal buzi haha!haya mambo ya kutaka maisha ya juu uwezo mdogo,kupenda mashndano kutaponza weng...
wadada wa mujini wanakula bata wakat hawana kazi tunazoona wakifanya
 
Nackia uyu dada ananunua designer stuff kabisaa kama kina Kim K..viatu CLoubotin,Zanotti kumwaga madollari kununua haoni tabu ,haya sasa KITANZI AWAITS YOU,...!bado WEMA S
 
Natamani sana niwajue wanaowabebesha huu ujauzito wa sembe!
Aisee siku wema ama diamond wakikamatwa itakuwa noma sana!
Nackia uyu dada ananunua designer stuff kabisaa kama kina Kim K..viatu CLoubotin,Zanotti kumwaga madollari kununua haoni tabu ,haya sasa KITANZI AWAITS YOU,...!bado WEMA S
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom