Elias Msuya
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 173
- 671
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu kanisa la Mwamposa kuwepo Kawe
Ameyasema hayo katika mahojiano na mwanahabari Salama Jabir katika kanisa hilo.
Video:
Soma
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu kanisa la Mwamposa kuwepo Kawe
Ameyasema hayo katika mahojiano na mwanahabari Salama Jabir katika kanisa hilo.
Video:
Soma