Mwamposa: Namshukuru Rais Samia

Mwamposa: Namshukuru Rais Samia

Kaangalie mwendokasi ya mbagala kama imekamilika
Uchawa nchi hii hautakuja kuisha
 
Nidhamu ya uoga ni ugonjwa SUGU unaofukuta ndani ya mioyo ya Watanzania,
 
Lazma asifie utakatishaji wa fedha anaoufanya unategemea nini mkuu
NO REFORMS NO ELECTION
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.

Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu kanisa la Mwamposa kuwepo Kawe

Ameyasema hayo katika mahojiano na mwanahabari Salama Jabir katika kanisa hilo.
Video:
View attachment 3361922
Soma
Tutakuepo ,zama hubadilika , naomba Mungu wa mwamposa amwambie ukweli
 
Back
Top Bottom