"Uongozi si mali ya baba yako lazima uombe kwa unyenyekevu "Naona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
Acheni kuwaombea wenzenu mambo mabayaNaona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
Kuna watu watapandishwa na wengine watashushwa"Uongozi si mali ya baba yako lazima uombe kwa unyenyekevu "
Kwani kumetokea nini?Naona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
Wacha yawakute kama walivyoumia wanafamilia waliotekwa ndugu zao,na Jungu linaenda kupasuka kila kilichokuwemo ndani ya chungu kitajulikanaAcheni kuwaombea wenzenu mambo mabaya
Kaa kimya hivyohivyo funga milango yako shusha na mapaziaKwani kumetokea nini?
Free Tundu lissu tunakusubiria uraiana
Yule nitapeli Tu namshangaa mama kaingiza kiwiliwili mazimamazimaNaona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
Majini ya omani yamegoma yanadai ngeu zaidiNaona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
Mtanganyika atakayeingia Ikulu hiyo Octoba lazima atakirudisha.Nakiona kiwanda cha nyama cha Tanganyika packers kikirudi upya na vijana wetu wenye Bachelor degree of "nyama beef and Makongolo" wakipata ajira sasa kama wataalamu.
Kwa hiyo Tanganyika yetu itaanzia kurudi pale Tanganyika packers?Mtanganyika atakayeingia Ikulu hiyo Octoba lazima atakirudisha.
Yap. Hapatavunjwa, pata taifishwa na kuwa ukumbi wa Jiji.Kwa hiyo Tanganyika yetu itaanzia kurudi pale Tanganyika packers?
Ungeongeza na BAKWATA. Kuna vizee pale havina shughuli maalum zaidi ya kuwa chawa na omba omba.Naona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
Ila kuna wakati wanatushawishi tuwazie mabaya maana wao huua kabisa bila huruma wala kujali nani ni mtegemezi wa wanaye muuaAcheni kuwaombea wenzenu mambo mabaya