Mwamposa amefika katoro kuwapuna wachimbaji

Mwamposa amefika katoro kuwapuna wachimbaji

Mwamposa amefika katoro kuwafanyia maombi ya hapa na pale pesa za wachimbaji ziko hararini kupotea Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa wa mbeya
Hivi mwamposa hua anawaaminisha nini wa mama jamani hadi hivi
Sms ya bimkubwa hio 😂
View attachment 3692124
Wajinga ndo waliwao...kekunduuuu,kekundu, kekunduuuu,kekunduu
 
Mwamposa amefika katoro kuwafanyia maombi ya hapa na pale pesa za wachimbaji ziko hararini kupotea Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa wa mbeya
Hivi mwamposa hua anawaaminisha nini wa mama jamani hadi hivi
Sms ya bimkubwa hio 😂
View attachment 3692124
Hawakoseagi hao, hawawezi kwenda sehemu yenye njaa! Eti wanasaidia watu, kwenda kuombewa na kutupiwa yale maji lazima uwe na kuanzia elf 10 mpk elf 50, hivihivi huwezi kuombewa. Hiyo ni business km zingine na mtu mweusi bado sana huo ujinga huwezi kuwapelekea wazungu
 
Mwamposa amefika katoro kuwafanyia maombi ya hapa na pale pesa za wachimbaji ziko hararini kupotea Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa wa mbeya
Hivi mwamposa hua anawaaminisha nini wa mama jamani hadi hivi
Sms ya bimkubwa hio 😂
View attachment 3692124
Wanyamwezi kutoka kuchuna ngozi kweli ni washirikina, wachawi, kila nabii utasikia mnyakyusa, hao wajamaa wanachukulia uchawi na madawa ya kuwapumbaza wajinga kutoka Congo.
 
Sina rekodi ya Mshawishi huru yeyeto kuanza kujifungamanisha na CCM na akaendelea kubaki kwenye kilele cha Mafanikio yake.

Niffer Leo ni Mavi kabisa Mitandaoni huko na alikuwa Shujaa Majuzi tu kiasi cha kuwatoa pangoni Manguli wa Sheria kama Kibatala,Maduhu na wengineo..kujitoa Mazima kuwakabili Jamuhuri Kisheria ili kumnusuru.

Mondi ni Mbwa koko tu kwa sasa hata mitandao ameikimbia.

Hela ya Mchimbaji tena Msukuma Ni ngumu kuipata.

Kifuatacho watamvizia wampige Moko kichwani na Kufa..

Chezea Ngosha Nchoji Wewe....
Kumbe nilipumbavu nyumbu. Wasukuma gani hao washamba? Subiri wavuliwe mpaka chupi.
 
Wanyamwezi kutoka kuchuna ngozi kweli ni washirikina, wachawi, kila nabii utasikia mnyakyusa, hao wajamaa wanachukulia uchawi na madawa ya kuwapumbaza wajinga kutoka Congo.
Kuna yule maza alieuza kiwanja cha familia million 40 adu akampelekea yote mchungaji hahahaha
 
Back
Top Bottom