Mwamposa amefika katoro kuwapuna wachimbaji

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,072
Reaction score
5,964
Mwamposa amefika katoro kuwafanyia maombi ya hapa na pale pesa za wachimbaji ziko hararini kupotea Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa wa mbeya
Hivi mwamposa hua anawaaminisha nini wa mama jamani hadi hivi
Sms ya bimkubwa hio 😂
Screenshot_20261016_230723_Messages.jpg
 
Sina rekodi ya Mshawishi huru yeyeto kuanza kujifungamanisha na CCM na akaendelea kubaki kwenye kilele cha Mafanikio yake.

Niffer Leo ni Mavi kabisa Mitandaoni huko na alikuwa Shujaa Majuzi tu kiasi cha kuwatoa pangoni Manguli wa Sheria kama Kibatala,Maduhu na wengineo..kujitoa Mazima kuwakabili Jamuhuri Kisheria ili kumnusuru.

Mondi ni Mbwa koko tu kwa sasa hata mitandao ameikimbia.

Hela ya Mchimbaji tena Msukuma Ni ngumu kuipata.

Kifuatacho watamvizia wampige Moko kichwani na Kufa..

Chezea Ngosha Nchoji Wewe....
 
Aliyeolewa atufafanulie
 
Kwa hiyo Mwamba itakuwa Mapato umepungua Dar ameanza kuyasaka mikoani?
 
Sina rekodi ya Mshawishi huru yeyeto kuanza kujifungamanisha na CCM na akaendelea kubaki kwenye kilele cha Mafanikio yake.

Niffer Leo ni Mavi kabisa Mitandaoni huko na alikuwa Shujaa Majuzi tu kiasi cha kuwatoa pangoni Manguli wa Sheria kama Kibatala,Maduhu na wengineo..kujitoa Mazima kuwakabili Jamuhuri Kisheria ili kumnusuru.

Mondi ni Mbwa koko tu kwa sasa hata mitandao ameikimbia.

Hela ya Mchimbaji tena Msukuma Ni ngumu kuipata.

Kifuatacho watamvizia wampige Moko kichwani na Kufa..

Chezea Ngosha Nchoji Wewe....
Nyie niliwaona hamnazo ndugu yenu alipokufa katika mazingira ya kutatanisha na mpaka saiv sijasikia hata ng'ombe wa anayesadikiwa kucheza mchongo wa mauaji amepata hata mafua,, ungosha wenu hauna makali upo km urojo tu
 
Hao wachimba madini kwa ushirikina hawajambo, ngoja wakaponeshwe kutoka nguvu za giza wanazoziamini
 
Nyie niliwaona hamnazo ndugu yenu alipokufa katika mazingira ya kutatanisha na mpaka saiv sijasikia hata ng'ombe wa anayesadikiwa kucheza mchongo wa mauaji amepata hata mafua,, ungosha wenu hauna makali upo km urojo tu

Huyo wala hakuwa anakubalika Mwanza, Shinyanga,Geita,Mara Mpaka Chato kabisa.

Alifunga Migodi yote Mikubwa na kupoteza ajira za wengi.

Watu walikula Mondi balaa alipo kata moto.

Mengineyo huwa ni back up za Mfumo Dola tu na TBC-CCM

Msuli wa Kisiasa wa Marehemu Lowassa Usukumani ulikuwa mpana mno.

Magufuli hata robo haifikishi.

Lowassa alikuwa akitamuka hadharani ana chukia Umasikini na mbinu za kuundoa Ngosha wanapagawa kabisaaaa huku Magu akipiga push up na kugawa crate za soda.

Amini Lowassa alizoa kura nyingi mno Usukumani kuliko Magufuli.

Kosa kubwa la Magufuli Kimkakati wa Kisiasa kwa Usukumani ni kuonyesha wazi anachukia upinzani.

Ngosha hahitaji kubebwa anahitaji tu Mtu wa Kumpigania Haki zake na wao walishaaminj Mtu wa aina hiyo Kazi hiyo ataiweza akiwa CHADEMA tu.
Sasa wanaowataka wao wawaongoze na wamewapigia kura halafu wanatangazwa wameshindwa ikawa ni Lugha Gongana.

Kupoteza Ubunge wa watu kama Wenj e enzi hizo,,Kushindwa Ubunge kwa Alphonse Mawazo pamoja na kifo chake,Shambulizi la Lissu ni moja ya matukio yaliyomdharaurisha Sana Magufuli Kisiasa Usukumani..na yeye alijua.

Fuatilia Clip zake za Kampeni Usukumani.Alikuwa anawalalamikia mno kwamba hawatabiriki.akiwataka wachague viongozi wa CCM tu ..wakichagua upinzani haleti maendeleo
 
Back
Top Bottom