wakuu kwani kuna ibara au kanuni yoyotte ndani ya katiba ya chadema inayozuia kiongozi kukopa ndani ya chama?kama hamna sheria yenya kuruhusu au kuzuia kionmgozi kukopa ndani ya chama inaimaana basi dr hakuvunja sheria .kama hamna sheria ya kuzuia kukopa dr amevunjaje sheria ambayo haipo?hawa vijana njaa zao sasa zimezidi bana.hawana hata aibu kujaribu kulumbana na level ya juu kama dr slaa?ndo maana slaa anawaita sisiminzi