Mwampamba Amjibu Dr Slaa

Mwampamba Amjibu Dr Slaa

Hakuna kitu hapo,Slaa amekiri kukopa na kurudisha tatizo liko wapi..suala ibara nalo kwangu halina mashiko sana kwani naamini Dr.Kama binadamu wengine alikuwa na shida na pengine aliona chamani anaweza kupata mkopo kwa urahisi kuliko taasisi zingine, katiba siyo msahafu wakati mwingine busara na hekima vyaweza tumika kulingana na ishu jinsi ilivyokaa(principle of rather evil),Kudai idadi na majina ya viongozi wengine waliowahi kukopeshwa na chama toka napo naona ni pumba nyingine, wewe ulipaswa kuja hapa na majina ya viongozi amabao waliomba kukopa kama Slaa wakakataliwa hata kama ni wewe mwenyewe ungeeleweka zaidi...cha mno ungekuja hapa na ushahidi kuwa bado pesa hazijarudishwa kama alivyodai mkopaji pia ungeeleweka zaidi...Bado niko palepale hivi kesi inayo/iliyokuwa inawakabili Josephine na Dr kule Arusha ilitokana na makosa yao binafsi kama mme na mke au walikuwa kwenye harakati za kujenga chama?Jibu ni katika kujenga chama..sasa upi ubaya wa Josephine kulipiwa gharama za yaya na chama ilhali alipaswa kuhudhuria mahakamani na yeye..Na amini kabisa kama Josephine asingetakiwa na mahakama kuhudhuria basi hizo pesa zi singelipwa kwa maana si kweli kwamba dr huzunguka na mke kila anapokwenda,last time dr alinikuta kata ya Lwenzera Geita kwenye kampeni za diwani oktoba mwaka jana but hakuwa na Josephine na alikaa pale siku 2.All in all PM 7 jipangeni upya kisiasa kupitia vyama vingine...huku cdm kumegoma..lugha za matusi zinazidi kuwabomoa na si kuwajenga na bado kuondoka kwenu pengo halionekani chama ndo kinazidi kuimarika...kama mnaweza hebu anzeni kujibu mapigo kupitia siasa za majukwaani muachane na media kama hamtaishia kupopolewa mawe na chupa za maji kama kina Kinana,Pinda,Mangula nk.
 
Wanajukwa hata kama huna adabu kiasi gani mtela wewe ni mpumbavu usiye na heshima hata kidogo inawezekanaje ukamuita Dr.slaa mzinifu daa kweli siasa upuuzi wanajukwa naomba kujua haya yafuatayo dhidi ya mtela 1.kiwango chake cha elimu?. 2.kama ana wazazi kwa sababu kama ana wazazi na amepata malezi ya baba na mama asingethubutu kusema hivyo?. Pia mtela amesahau hizo hela alizopewa atamaliza na
kesho ataendekeza njaa pia amesaha kuna outside of politics kwa kumalizia tuseme 2 wacha haya yatoke ili chadema wajifunze next time. Madhara ya kuwapa waendekeza njaa,wasio na heshima walafi na wenye uchu wa madaraka uongozi daah kwa hali hii watu wataweka siasa kando. Ngoja asinitafutie ban halafu tumechoka na hawa PM7 kila cku ni upuuzi kujadili hoja ya kipuuzi
 
Huu ni ukosefu wa shukrani,hekima,adabu na staha.Kijana kama Mwampamba anawezaje kumwita Dr.Slaa 'mzinifu'? Semeni hoja za kujenga jamani...si majungu na matusi tu

Inawezekana alipiga punyeto kwa siri ili wapate kuichafua CDM,hivi makashfa yote ya ngono kwa viongozi wa CCM huyaoni?,hasa wanavyohamisha machangudoa kutoka ohio kwenda dodoma kila vikao vya bunge vinapoanza?,bado sana huyo mtoa uzi.
 
Ni wapuuzi tu huweza kuunga mkono hoja za kipuuzi.

Hekima zinapowekwa pembeni kwa kushangilia upumbavu ni upumbavu pia

Watu wanateseka, matibabu ovyo, elimu ovyo, mfumko wa bei juu, umoja na mshikamano wa watanzania upo mashakani

Halafu mpumbavu anatuletea hoja ya 20m badala ya IPTL, Rada, nk kwa ufupi wa akili wachache wanashangilia ni kujidharirisha.
 
Huu ni ukosefu wa shukrani,hekima,adabu na staha.Kijana kama Mwampamba anawezaje kumwita Dr.Slaa 'mzinifu'? Semeni hoja za kujenga jamani...si majungu na matusi tu
Kha! Sasa wataka aitweje? Kama ana Do na mwanamke ambae hajamuowa?
Watanzania tunaeleaa zinaa ni kufanya mapenzi na mwanamke ambae hujamuowa.TUambie dk slaa kamuowa lini huyo mshumbuzi? Kama bado hajamua basi usibishe huyo ni mzinifu mwenziwe.


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Kipi bora kukopa kiungwana au kupora tembo, kujilimbikizia pesa uswisi, meremeta, EPA,kagoda, Twiga uarabuni??

Hayo mengine yote ni ufisadi unaostahili kupingwa. Lakini hapa swali la msingi ni moja:

Kukopa kiungwana ni vipi? Hizo taratibu zilizofuatwa ni zipi? Kama kuna taratibu zilivunjwa, huu nao utakuwa ni ufisadi kama huo mwingine uliotaja.
 
Malipo mbona hapahapa duniani. Atatukana sana lkn alikokwenda ndo haswaaaaaa. Chezea pipooooozi wewe ona sasa rangi zao tunazina kwa kasi. KWENDA MWANA KWENDAAAAAAA.
Hata SA akina Butelezi walikuwa wanapigana ili uhuru usipatikane, hivyo msiwashangae wasaliti hawa
 
Kaka sasa angekopa wapi na cdm ndo kazini kwake? Hii ndo raha ya kazi siku hizi watumishi tunaishi kwa mikopo awaulize walimu wenzake. Au HAKOPESHEKI?
 
Hayo mengine yote ni ufisadi unaostahili kupingwa. Lakini hapa swali la msingi ni moja:

Kukopa kiungwana ni vipi? Hizo taratibu zilizofuatwa ni zipi? Kama kuna taratibu zilivunjwa, huu nao utakuwa ni ufisadi kama huo mwingine uliotaja.
Labda wewe utuambie taratibu za kukopa ni zipi? Unajua utaratibu wa kusaini cheki chadema au unabwabwaja tu?
 
Who'z Mwampamba in tanzania politiki..watu wanasaka umaarufu kupitia mgongo wa Dr willy
 
Hapana kaka FRESH hawa watoto hawana adabu nisamehe kwa lugha hii ya kuuzi si tabia yangu lkn ni mila na desturi zetu kuwananga wezee wenye busara kama Dr?
 
Hayo mengine yote ni ufisadi unaostahili kupingwa. Lakini hapa swali la msingi ni moja:

Kukopa kiungwana ni vipi? Hizo taratibu zilizofuatwa ni zipi? Kama kuna taratibu zilivunjwa, huu nao utakuwa ni ufisadi kama huo mwingine uliotaja.

Sidhani kama Kukopa tafsiri yake ni kuiba. Kukopa maana yake urudishe kwa wenyewe na kupora maana yake kiwiziwizi.
 
Hayo mengine yote ni ufisadi unaostahili kupingwa. Lakini hapa swali la msingi ni moja:

Kukopa kiungwana ni vipi? Hizo taratibu zilizofuatwa ni zipi? Kama kuna taratibu zilivunjwa, huu nao utakuwa ni ufisadi kama huo mwingine uliotaja.


mkuu upo? habari ya leo?

katiba ya chama chochote inataratibu zake, kuhusu hili

1. Katiba inasemaje ya chadema? maana sisi wengine mtufumbue macho.

2. Kutokana na jibu la 1 utaratibu umefutwa kuwakilisha malalamiko panapohusika kama upo na nani kawasilisha, kama haujafuatwa nini mtazamo wako, tuite haya majungu au uzushi? au malalamiko yasiyo rasmi
 
SWALI
Wewe Mzee hoja siyo kwamba umekopa na kurudisha, hoja hapa ni je kwa mujibu wa Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu za Chama cha Chadema kuna utaratibu wa mwanachama au Kiongozi kukopo na kisha kurejesha? kama upo ni acha wanachama wa kawaida je ni Viongozi wangapi wameshawahi kukopesha na CHADEMA kisha wakarejesha?
Mtela wewe ndio ulete ushahidi wa shutuma zako. Taja Kanuni na Sheria zilizokiukwa.
Anyway, hata kabla hujajitutumua kupika hilo, ni wazo shutuma zako zinasukumwa na chuki, ubinafsi na upumbavu hivyo basi chochote usemacho kitatupiliwa mbali kwa kukosa mantiki na mashiko kisiasa na kisheria.

Lakini pili unaposemanimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwinginesikuelewi, hivi hakuna Taasisi za kukuwezesha wewe kukopa? Mbona Mwenyekiti wako Mbowe alikopa NSSF. Kuna Mabenki, kuna SACCOS n.k
Je Mbowe alikopa kama nani?

Ungekuwa matured kidogo ningekumegea ka-tution kadogo, ila jua hivi Dr. Slaa kwa nafasi yake ktk nchi hii (mbali na taratibu) ni vizuri sana alikopa ndani ya CHADEMA na si kwingineko.
 
Unaonaje mwampamba uende kufungua kesi mahakamani kudai hayo. kibaraka ww na wenzio hamwezi kufanikiwa adhima yenu.no point no issue here.
 
Wanajukwa hata kama huna adabu kiasi gani mtela wewe ni mpumbavu usiye na heshima hata kidogo inawezekanaje ukamuita Dr.slaa mzinifu daa kweli siasa upuuzi wanajukwa naomba kujua haya yafuatayo dhidi ya mtela 1.kiwango chake cha elimu?. 2.kama ana wazazi kwa sababu kama ana wazazi na amepata malezi ya baba na mama asingethubutu kusema hivyo?. Pia mtela amesahau hizo hela alizopewa atamaliza na
kesho ataendekeza njaa pia amesaha kuna outside of politics kwa kumalizia tuseme 2 wacha haya yatoke ili chadema wajifunze next time. Madhara ya kuwapa waendekeza njaa,wasio na heshima walafi na wenye uchu wa madaraka uongozi daah kwa hali hii watu wataweka siasa kando. Ngoja asinitafutie ban halafu tumechoka na hawa PM7 kila cku ni upuuzi kujadili hoja ya kipuuzi

baba yake anaitwa Alamu Mwampamba alikuwa mwalimu.mama yake ni diwani wa viti maalumu kupitia Chadema.utovu wa ni dham kwa viongozi wake hajautoa mbali ni wa kifamilia kwani hata baba yake mzazi alikuwa hana nidham kwa viongozi wake.Alikuwa jeuri kwelikweli,alikuwa hashauriki wala haambiliki.kutokana na tabia yake alishawahi kusimamishwa mara kadha kazini kwake.kwa hiyo Mutela hatowi mbali.Achapamwawo.
 
Mwampamba kweli wewe ni kijana makini majibu yako ni kisu kwa Dr Slaa na wafuasi wake wote.

Mkuu Ritz for sure ulikuwa na close coordination na post ukahakikisha unakuwa wa kwanza kurusha post!!! Ha ha ha!! Dr, Slaa atawalaza macho na mwisho wa siku ni mshindi tu mtu wangu!! Mnapiga kila upande but watanzania tumemshikilia kwa kuwa tunafahamu mchezo wenu mchafu!! Mwenzako Nape anachanwa live humu kumbe ni HARAMU na baba mwenyewe ni wa kubandikiwa na familia imeshamkataa!!! Khaa!! SSM viongozi wenu bwana!! Mara mafisadi, mara majambazi wa nyara za serikali na vitalu vyake haramu. By the way, mwenzake mmoja kakamatwa huko Manyara na gari ya JW!! Kumbe wizi wa nyara umeanzia mbali kabisa!! Halafu eti mnamfanya kiongozi!! Na mpiga vuvuzela ni haramu!! Na mfalme wao dhaifu!! Hamuiwezi CDM!! Hata mkitaka kuipasua vipande mara moja intelligenzia inawafichua!! Wapokeeni sasa kina Shonza na huyu mlilia hapa na vimilion 20 mbona mafisadi wenu ni mabilioni tu na hamuwasemi!!! SSM nyie mna auditing kweli!!! Hakuna maana pesa yenu yote ni emergence kwa kununua wapiga kura tu!!! Ha ha!! Long live CDM!!! Sina Chama ila ni mpiga kura safi wa kiongozi safi bila kufungamana na the so called Chama!!
 
mi niseme sina hakika na kujikopesha km ipo kwny mwongozo wa katiba. Naomba nimuulize mwampamba, waliponunua zile music system na magar ipo kwa kwny mwngozo upi kwny katiba? Halafu km kuna ubadhirifu kwny chama CAG mh. Utoh angekuwa amesema. Hvy acha kubwabwaja. Haya nawe kwann uliamua kusaliti kwa kutumiwa na ccm? Na hayo kwnn hukuyasema kabla ya kufukuzwa? Angalia ndo unakufa kisiasa mwampamba.
 
Kaka sikutegemea kama ungeishia hapo. Matusi hayakubaliki hata kidogo lakini vipi kuhusu hoja alizotoa nyingine?

Mkuu Freshthinking.

Kwanza hongera kwa kuona kuwa matusi haya kubaliki hasa kwa kijana kumuita mtu aliye kuzidi umri majina yasio faa! Hii ni kinyume na mila na desturi za kijana wa kitanzania.

Hata hivyo kwa upande wa ulizo ziona kuwa ni hoja mimi naona ni maneno ya mkosaji tena baada ya kutoswa! Anahoji leo kwa kuwa sio mwanachama wa chadema na labda kwa kuwa anatumiwa?! Ok tuseme ndio anatumiwa au ametuka lakini swala ni.

1. Katiba za vyama vingi hazina kanuni au sheria za kukopesha au kukopeshana, cha msingi tambua kuwa kutokuwepo kwa kanuni au sheria za kukopeshana hakuondoi uhalali wa mhusika kuomba mkopa au kukopeshwa kama kuna makubaliano ya kimaandishi au yaki ofisi na utayari wa kutoa mkopo huo kwa mhusika.

2. Swala la kukopa ni swala la utashi binafsi, huwezi kumpangia mtu akakope wapi au akope kiasi gani. Kama nina shida naweza kuamua kukukopa wewe kuliko kwenda kwenye taasisi ya fedha swala ni makubaliano tu. Kwangu eti kwa nini Dr hakwenda kwenye saccos au nssf kukopa sio hoja yenye mashiko. Cha msingi ni kukopa unako taka na kulipa. Period!

3. Kwa kufuata msingi wa hoja namba 1. Ni ukame wa maono kusema kukopa ni ufisadi! Hii itakuwa tafsiri mpya ya ufisadi kutoka kwa Mwl Mwampamba mhitimu wa chuo kikuu asiyejua maana halisi ya ufisadi! Kama kwake alicho kifanya Dr ni ufisadi vipi kuhusu walio kwapua fedha za kagoda, epa, meremeta na kutoroshea fedha Uswis?!

Ndio maana nikasema aachwe apige kelele na kutukana akichoka ataenda kulala.
 
Last edited by a moderator:
Labda wewe utuambie taratibu za kukopa ni zipi? Unajua utaratibu wa kusaini cheki chadema au unabwabwaja tu?

Mimi naona tunabwabwaja wote. Mimi sijui taratibu za kukopa CDM ndio maana nauliza. Kama hujui sema ili tusibwabwaje sote.
 
Back
Top Bottom