Mkuu
Freshthinking.
Kwanza hongera kwa kuona kuwa matusi haya kubaliki hasa kwa kijana kumuita mtu aliye kuzidi umri majina yasio faa! Hii ni kinyume na mila na desturi za kijana wa kitanzania.
1. Katiba za vyama vingi hazina kanuni au sheria za kukopesha au kukopeshana, cha msingi tambua kuwa kutokuwepo kwa kanuni au sheria za kukopeshana hakuondoi uhalali wa mhusika kuomba mkopa au kukopeshwa kama kuna
makubaliano ya kimaandishi au yaki ofisi na utayari wa kutoa mkopo huo kwa mhusika.
Ndio maana nikasema aachwe apige kelele na kutukana akichoka ataenda kulala.