Kweli we kijana mpuuzi ambaye hutusumbui sisi vijana tuliopata muamko kupitia Dr Slaa Binafsi namchukulia Dr kama Shujaa hapa Tz kwa sababu amekua mstari wa mbele kutoa Elimu ya uraia kwa watanzania na Wengi wetu hata tulioishia darasa la7 sasa hivi tunajitambua kama wewe kweli ni mwanaharakati wa kweli pasipo kutumwa au kutumiwa katiba ya chadema inaruhusu mabishano na kuambiana ukweli ndani ya vikao husika sasa wewe siku zote ulikua wapi kusema haya mpaka umepigwa chini ndo uanze kuleta habari za kimbeya vijana kama nyinyi ndo mnazolotesha harakati. Haya Dr ni msema kweli siku zote hajakana amekubali alikopa na amerudisha sisi Watanzania tuliofunguka akili tunazidi kumwamuni coz kasema kweli alikopa na alirudisha. Ningekuona mzalendo wa kweli kama ungeshupalia maswala muhimu ya kitaifa Hasa Ges, Madini, Twiga na Meno ya tembo yanayokamatwa kila siku, Richmond, Epa na Mabilion ya uswis Kukua kwa matabaka ya walionacho na wasiokua nacho. Acha kutumika kama Condom au karai la kumwagia zege