Avatar nzuriPengine nikipigo anachopokea mama kwa baba Hana pa kurudishia zaidi ya kwa huyo mtoto
Hebu tuambie adhabu aliyoistahili haswa ni ipi?Ni wake wa kuzaa wana jamii ila kwa adhabu ile haikumstaili hata kama alikua na kosa.
mmmmhhhh@mr.ralavel, mkuu kwa kipigo kile yule mwanamama alipelekwa polisi na majirani kwa mahojiano zaidi kwa nini anafanya hivyo.
Inasikitisha.Mkuu bahati mbaya sana sikuweza kuchukua picha kwa muda ule kutokana na taharuki punde nashuhudia tukio