Mwambieni Tundu Lissu aheshimu taratibu za Mahakamani vinginevyo kila cku mtakuwa mnalalamika

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa

Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na wap, mahakama ikishaahirisha kesi mshtakiwa ni mali ya magereza, kila cku anaambiwa aheshimu mahakama na vyombo vyake yeye anajifanya nunda

Ss juzi kesi imeahirishwa wewe bado unapiga stori na watu, magereza wana taratibu zao

Mwambieni Lissu awe na adabu na magereza otherwise magereza watampitia Kama kimbunga

Msiijarib serikal jaman, watu nunda kama Lissu watashika adabu tu maana amekuwa akiropoka t ss hv
 
downloadfile-29.jpg
 
Mwambieni Lissu awe na adabu na magereza otherwise magereza watampitia Kama kimbunga

Msiijarib serikal jaman, watu nunda kama Lissu watashika adabu tu maana amekuwa akiropoka t ss hv
Usisahau yule ni Wakili na aliwahi kua Rais wa Mawakili, yaan Mahakamani ni Home Ground yake kabisa kwa hio huna cha kumfundisha mkuu watch Out part 2
 
Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa

Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na wap, mahakama ikishaahirisha kesi mshtakiwa ni mali ya magereza, kila cku anaambiwa aheshimu mahakama na vyombo vyake yeye anajifanya nunda

Ss juzi kesi imeahirishwa wewe bado unapiga stori na watu, magereza wana taratibu zao

Mwambieni Lissu awe na adabu na magereza otherwise magereza watampitia Kama kimbunga

Msiijarib serikal jaman, watu nunda kama Lissu watashika adabu tu maana amekuwa akiropoka t ss hv
ufe leo hii usiku shheitwani wee
 
..hakuna madhara yoyote kwa Lissu kushauriana na mawakili wake baada ya Jaji kuahirisha kesi.

..pia hakuna ubaya wowote kwa Lissu kusalimiana na wananchi wanaokwenda kusikiliza kesi yake.

..kesi ni ya kisiasa na usitegemee usiwe na vionjo vya kisiasa na harakati. Na Lissu asitendewe kama mtu mwenye hatia wakati bado hajahukumiwa.
 
Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa

Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na wap, mahakama ikishaahirisha kesi mshtakiwa ni mali ya magereza, kila cku anaambiwa aheshimu mahakama na vyombo vyake yeye anajifanya nunda

Ss juzi kesi imeahirishwa wewe bado unapiga stori na watu, magereza wana taratibu zao

Mwambieni Lissu awe na adabu na magereza otherwise magereza watampitia Kama kimbunga

Msiijarib serikal jaman, watu nunda kama Lissu watashika adabu tu maana amekuwa akiropoka t ss hv
Acha ujinga
 
Wewe na hao wenzako wote mnaoshiriki kwenye huu upumbavu wa kusumbua watu bila ya sababu, na kuwanyima uhuru wao; naamini hamna akili.
 
Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa

Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na wap, mahakama ikishaahirisha kesi mshtakiwa ni mali ya magereza, kila cku anaambiwa aheshimu mahakama na vyombo vyake yeye anajifanya nunda

Ss juzi kesi imeahirishwa wewe bado unapiga stori na watu, magereza wana taratibu zao

Mwambieni Lissu awe na adabu na magereza otherwise magereza watampitia Kama kimbunga

Msiijarib serikal jaman, watu nunda kama Lissu watashika adabu tu maana amekuwa akiropoka t ss hv
Serikali ni watu lakini sio nyani
 
Watu wajinga huwa mnakua wanafiki sana
 
Mahakama inayoagizwa kumkomoa inajiheshimu? Tuanzie hapo kwanza. Heshima hupatikana kwa kutenda haki, si kuogopwa. Kama hiyo mahakama ingekuwa inajiheshimu, leo hii kesi ya Lisu ingekuwa imesha aidha amenyogwa, ama kuachiwa., sio huo upuuzi unaoendelea eti unaleta habari za serekali. Ingekuwa serekali haichezewi tusingeona ripoti chafu za miaka yote toka kwa CAG.
 
Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa

Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na wap, mahakama ikishaahirisha kesi mshtakiwa ni mali ya magereza, kila cku anaambiwa aheshimu mahakama na vyombo vyake yeye anajifanya nunda

Ss juzi kesi imeahirishwa wewe bado unapiga stori na watu, magereza wana taratibu zao

Mwambieni Lissu awe na adabu na magereza otherwise magereza watampitia Kama kimbunga

Msiijarib serikal jaman, watu nunda kama Lissu watashika adabu tu maana amekuwa akiropoka t ss hv
Hatuna mahakama ila kilinge cha ccm
 
Lissu ni mhuni sana hivyo anatakiwa kutendewa kihuni kama yeye anavyowatendea wenzake.
 
Back
Top Bottom