mwambie jirani yako leo atapata mimba!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwambie jirani yako leo atapata mimba!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Deejay nasmile, Mar 26, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  [h=6]mchungaji mmoja katika
  mahubiri yake huwa
  anachangamsha sana waumini
  wake,kwa mfano utakuta katikati ya
  mahubiri utasikia "..Muambie jirani
  yako..Yesu anakupenda!" basi kwa
  furaha na mbwembwe kila mtu
  atamuambia jirani yake,kisha
  mchungaji anasema "pokea upendo
  wa bwanaa!"..Sasa jana mchungaji
  alikuwa anahubiri kuhusu wanawake
  wasiopata watoto,sasa katikati ya
  mahubiri akasema "...Muambie
  jirani yako,mwaka huu utapata
  mimba!" bila kujali watu wamekaa
  na nani jirani wengi tulikaa kimya
  kwani unakuta umekaa na
  mwanaume mwenzio.Mara ikasikika
  tu mtu kapigwa kofi huko nyuma
  alafu mtoto akaanza kulia ile
  tunageuka tunakutana na baba
  akimwambia mwanae wa kiume
  "..Ukome!".
  [/h]
   
 2. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  he! padiri balaa
   
 3. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  hahahah..unaweza kuuwawa hivi hivi
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mchungaji anaweza akasababisha varangati kanisani
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Imetulia mkuu!
   
 6. h

  hayaka JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umenichekesha mbaya. Tnx
   
 7. upupuwapwani

  upupuwapwani JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  ningeongezea... "tena ya mapacha"
   
 8. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!! Ebwana sijawahi kucheka kama leo dah...
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa
   
 10. Quirine

  Quirine Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alitaka makuu huyu jamaaa
   
 11. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Mchungaji kaleta balaa, umeifanya siku yangu kuwa nzuri sana.
   
 12. b

  bigambo Senior Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ah ahaha ah aha haha ahah
   
 13. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Uuuuwi mie mbvu zangu hahahaaa
   
Loading...