Kama kawaida lazima nikifika nyumbani tu naenda contena kwa mangi kurefresh na kupata nondo mbili za kulalia, yes nondo........ nimeama kesto....... Mangi kama kawa lazima akupe story za kitaa...... Mangi akaanza kufunguka.....analalamika mshkaji mtaani anamzingua kwenye biashara.....jamaa kila akienda na demu anamtonya mangi kuwa demu akitaka Savana mwambie hamna.........sasa juzi jamaa kaenda na demu alafu kama kawa akamtonya Mangi....mangi akaona huu ujinga....demu kuagiza savana....mangi akapeleka...jamaa mcho yakamtoka.......amekataa kulipa deni...anasema hayakua makubaliano....demu alipiga kama tusavana tutano ivi......aisee....kumbe kuna watu wako ivyo aisee......Kina dada ukienda out na jamaa nenda mwenyewe kaunta kaangalie unakunywa nini........ wasanii ni wengi.