Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Halafu wewe...nakutafuta Heaven on earth
si nimekwambia niko busy na haya mafile.......,nikimaliza tu nakuja
Halafu wewe...nakutafuta Heaven on earth
Karibu sana...naeda Kigamboni leo mchana huu.....naenda kunywa kule beach..Me gharama yangu ndogo tu redbull na mzinga wa nusu mzinga wa konyagi ila nikipata wa kuninunulia amarula na konyagi yng taratibu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mi ni amarula tu tena sitaki ya kupimiwa nataka chupa mezani nijipimie mwenyewe.
naomba nikutoe tukanywe bibie?
amArula tamu aisee
Nikitoka job niende mahala nikajinywee kwa raha zangu
saa ngapi!!!!!!!!!!leo au kesho
amArula tamu aisee
Nikitoka job niende mahala nikajinywee kwa raha zangu
saa ngapi!!!!!!!!!!leo au kesho
Kila siku si unaona wanavyoalalmika huku ndani....ooh halipi bill ...oooh mwanaume suruali....... hata ikitokea mwanamke anataka alipe.....atakimbilia bill ndogo.....utasikia..wacha tu mimi nitalipa chakula..wakati yeye ana penasol box la tatu au savanna ya nane....
Nipo sana BelindaJacob......apo tupo wote kwenye huisi....hebu njoo PM kwanza tutete
Jamani let a spade be a spade and a hoe be a hoe, kutaka usawa kwenye mambo mengine ndo kunawavunjia heshima watu. Mi naona kama ni out imeandaliwa au mualiko umetoka kwa mwanamke wacha agharamie otherwise mwanaume a insist kulipa as a head or a top or leader (its nature kuwa mwanaume ni head/leader).
Sasa wanaume wanapoanza kulalama kuwa wanawake nao walipe bill na wakilipa bill mnasema wanachagua bill ndogo na ile kubwa wanamuachia mwanaume jamani mbona kulalama? mnajua madhara ya mwanamke ku take over men's responsibility?
Ukikuta mwanamke anafanya majukumu ya mwanaume na hatetereki na mwanaume yuko tuu kakaa basi ujue iko shida na hapo ndo mwnamke anaanza kumdharau mwanaume na heshima hupungua hasa unapomletea za kuleta.
Kama mwanaume pesa yako ndogo mwambie mwanamke mfuko unatutosha viroba viwili na mishkaki miwili aelewe na sio kuanza kulalama kuwa anakukomoa au kukupiga mzinga.
Kumbe ungeagiza maji yako mkubwa ya Kilimanjaro......unaenda ukiwa umeshiba kabisa ...wewe ni gem tu...alafu baada ya gem ndo unamkaba sasa.....
Kigamboni mbali, sina direction kwa sasa nahisi nitaenda jangwani beach
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Baada ya game umkabe????ushafanywa alafu ndo udai pesa wapi na wapi????
he hata kama ni mie lazima nipige savannah kwa kwenda mbelee
ukipata kwa kushikilia mbona unashikilia sana,nikiwa mwenyewe ninywe
reds nikipata wa kuninulia bado ninywe reds AAAH WAPI!!!!!!!!
Hahahaha. Umenikumbusha mbali kigamboni kuna club moja hivi inaitwa kakara ilikuwa kitambo 2010 kama sijakosea nimemiss kulewea kigamboni
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums