- Thread starter
- #21
mi ni amarula tu tena sitaki ya kupimiwa nataka chupa mezani nijipimie mwenyewe.
Afadhali amarula......najua huwezi maliza zaidi ya moja....lakini savanna hata 15 watu wanakunywa....
mi ni amarula tu tena sitaki ya kupimiwa nataka chupa mezani nijipimie mwenyewe.
haya bana ya kuexaminiana tudiscus baadae,sa hivi tujadili haya ya savana
we acha smile,ule ulikuwa mshangao wa siku........,ila sa hivi nishapata mkanda mzima in and out
yule laana aliyonayo hata aoge maji ya kisima haifutiki ile............
:tape:....aisee...msameheni bure...
haya....nitapitia mohans kabisa
Savana ni kinga ya ukimwi, wanasema madem wa mjini. Eti wakiinywa huko shimoni kunamwagwa utelezi kama KY.
Mi nimesikia tu, sina uhakika
ooooh kay......key word: Savannah
hizo savana huwa zinauzwa shs ngapi kwani kiasi cha huyu kaka kusumbuka hivi?
Haya ni matatizo ya kujikweza wakati huna kitu, kwa nini aishi maisha ya kuigiza badala ya maisha yake ya asili? Kwa nini kujitwika ma mizigo yasiyo na faida?
Upo mein freund? mie mwenyewe mpenzi mkubwa wa ciders na Savanna ni kati ya nizipendazo ukiacha Irish Magners cider na Stella Artois Cidre..sema kupatikana bongo kwa manati ukiacha Savanna!!
mambo ya kunywa juice na soda yanaishia high school jamani, au siyo?!! happy weekend Kaizer
its required. la sivyo utaitwa mwanaume suruali, lofa. mwanamke akiamua 'kukuvua nguo' anaweza kukuharibia kweliKwani unapoenda starehe na mdada ni lazima ulipe mwanaume? tuache dharau jamani
Alafu akitolewa bila pesa analalamika ooooh kanifanya bure......kumbe unaiga tembo!!!!
Wengine mashauz yao yanawafanya mtu amkomeshe.Savannah nane na michemsho dadekiiiiii!!!!!!!!!!
its required. la sivyo utaitwa mwanaume suruali, lofa. mwanamke akiamua 'kukuvua nguo' anaweza kukuharibia kweli
he hata kama ni mie lazima nipige savannah kwa kwenda mbelee
ukipata kwa kushikilia mbona unashikilia sana,nikiwa mwenyewe ninywe
reds nikipata wa kuninulia bado ninywe reds AAAH WAPI!!!!!!!!
mi ni amarula tu tena sitaki ya kupimiwa nataka chupa mezani nijipimie mwenyewe.