Mwambie hakuna SAVANA......

Mwambie hakuna SAVANA......

Kama kawaida lazima nikifika nyumbani tu naenda contena kwa mangi kurefresh na kupata nondo mbili za kulalia, yes nondo........ nimeama kesto....... Mangi kama kawa lazima akupe story za kitaa...... Mangi akaanza kufunguka.....analalamika mshkaji mtaani anamzingua kwenye biashara.....jamaa kila akienda na demu anamtonya mangi kuwa demu akitaka Savana mwambie hamna.........sasa juzi jamaa kaenda na demu alafu kama kawa akamtonya Mangi....mangi akaona huu ujinga....demu kuagiza savana....mangi akapeleka...jamaa mcho yakamtoka.......amekataa kulipa deni...anasema hayakua makubaliano....demu alipiga kama tusavana tutano ivi......aisee....kumbe kuna watu wako ivyo aisee......Kina dada ukienda out na jamaa nenda mwenyewe kaunta kaangalie unakunywa nini........ wasanii ni wengi.

sio uende tu kaunta ukaangalie vinywaji vilivyopo,ila uwe na pesa mfukoni ili unywe kwa uhuru,wanaume wenyewe wa siku hizi bahili kama nini, sasa kuwaonyesha tunajiweza na sisi huwa tunalipa bili wenyewe aiiish
 
dawa yake mpe savanna akienda chooni mwekee na valuu ndio akome
 
Hahahahaha. ..........Umenichekesha sana pale nilienda sababu enzi hizo panton mwisho saa sita sasa tumetoka kula bata sunrise kufika ferry hakuna kivuko ndio tukaulizia kablu tukaelekezwa hapo tulikuwa na band hata sijui band gani. Ila nimemiss ujana jamani

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Siku hizi wengine wamehamia kwenye ZANZI, shot mbili 8000 hata nusu glass haifiki. Imekula kwake hanipati ng'ooo labda ajinunulie mwenyewe
 
ahahaaaa best nimepata pm yako...yule bazazi si alinipm anataka kitu! kalaaniwa kuliko wanawake wote yule
yaaani!anasagaaaaaa na kukoboa nafaka au......
:sorry: lkn kwa kuuliza swali la kipinda.......
 
Kama kawaida lazima nikifika nyumbani tu naenda contena kwa mangi kurefresh na kupata nondo mbili za kulalia, yes nondo........ nimeama kesto....... Mangi kama kawa lazima akupe story za kitaa...... Mangi akaanza kufunguka.....analalamika mshkaji mtaani anamzingua kwenye biashara.....jamaa kila akienda na demu anamtonya mangi kuwa demu akitaka Savana mwambie hamna.........sasa juzi jamaa kaenda na demu alafu kama kawa akamtonya Mangi....mangi akaona huu ujinga....demu kuagiza savana....mangi akapeleka...jamaa mcho yakamtoka.......amekataa kulipa deni...anasema hayakua makubaliano....demu alipiga kama tusavana tutano ivi......aisee....kumbe kuna watu wako ivyo aisee......Kina dada ukienda out na jamaa nenda mwenyewe kaunta kaangalie unakunywa nini........ wasanii ni wengi.

jamaa hii aina ya kiswahili hapo kwenye red sijui niaje....... tusavana=savana, tutana=tano? nyingine tujamaa, tutoto, tugari, tupikpik, tuhela, tukalamu, tushule, tuhutu, tutusi, tuhaya, tumeru looh.....
 
Umeongea point sana mkuu..vijana wengi wa mjini wana fake sana maisha........unajifanya ukovizuri kumbe unatoa povu.....mbona kuna wa rahisi tu wengi.......sio lazima umfate anayekunywa savanna au kama vipi mwambie kabisa hela ya savanna huna.

Ukimwambia hauna uwezo wa kumnunulia savanah ndiyo mwisho wenu!

Mm yalinkuta hayo;siku hiyo tumeenda wote yaani mm na yy na marafiki zake 3 wa kike ndipo nikaonyesha U-Malafyale wangu; nikakataa kulipa bill!Haiingii akilini ma sister duuh 4 wale kuku 9 bana au walikuwa wananikomoa?
 
Nikiwa mwenyewe napendelea kiroba jogoo cha 700/= nikitolewa na mtu najifanya sikijui kabisa kiroba nahamia kwa amarula.

njoo ghetto baadae nina chupa nzima ya Amarula , Zanzi na strawberry lips ushindwe mwenyewe tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom