Mwamba Putin ameshaweka No fly Zone...

Suluhu ni wao kuacha kupigana au ni sisi kuwaza namna ya kujitegemea katika uzalishaji wa nishati?
Kuwaza kuacha kutegemea wengine ni jambo zuri lkn si jambo la mda mfupi na kizazi cha umri wa kati labda tuamue kufanya kwa ajili ya watoto wetu wakati huo sisi tukiendelea kupata tabu, miaka 30 nyuma China hakuwa ana teknolojia aliyonayo sasa ila aliweka malengo na sasa hakuna anaempa tabu.

Kuongezea, Afrika bado inahitaji viongozi wenye mitizamo ya pamoja katika kuhakikisha kuwa hili linawezekana.
 
Kazi ya S 500 hapo hakatishi hata kunguru
Those S-300, S-400/S-500 are nothing but expensive toys, wherever they're they've completely failed to live up to their expectations.

Look at Russia itself, Iran and Syria, they're overrated as the air in those countries is dominated by the enemies UAVs flying completely unchallenged.

Despite the fact that no ADS is 100% perfect but these Russian batteries have their effectiveness been a subject of much exaggeration.
 
Porojo tu hizo zenye misingi ya udini. Iran uchumi umeshakufa hadi pesa yao imekuwa karatasi lakini kwa sababu ya imani hizi za kuletewa huwezi kuliona hilo. Bure kabisa.
 
kuna mwingine alikaa miaka 20 kule milimani aisee, vita hizi tuendelee kuzifatilia kwenye mitandao tu, vita ni kitu katili sana
Acheni huyo mwingine alikuwa huko kama mtawala na alikuwa anaweka watawala apendavyo na hata alipotaka kutoka aliwaachia silaha za mamilion ndipo utaelewa Marakani haikuwepo huko kwa kupigana bali kutawala.

Putin sasa ni mwaka wa 5 anapigana na Ukraine wala hashindi bali anapigwa kama ngoma!! Kwa hiyo tu inaonyesha Russia na Putin wake ni SuperPower wa Michongi!!
 
Reactions: Lax
sasa kwanini trump analilia silaha zao?
 
Porojo tu hizo zenye misingi ya udini. Iran uchumi umeshakufa hadi pesa yao imekuwa karatasi lakini kwa sababu ya imani hizi za kuletewa huwezi kuliona hilo. Bure kabisa.

Ndiomana ikaitwa Vita
Na ndiomana nikasema Vita ya Uchumi
Ile ni Vita lkn pande zote zipitie magumu
Lkn yupo mmoja ndio mwenye kuumia zaidi
Nayeye ni Ulaya na Marekani,!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…