Vita ya Ukraine na Russia vinapingwana kwa Hesabu kubwa sana
Russia nikama wanaogopa au tuseme hawataki kuwauwa Ndugu zao!!!!
lkn na Ukraine ipo ivo ivo wanaogopa kifanya shambulio baya uko Russia !!!!
Lkn Russia malengo yao yanasonga mbele kama walivotaka
Hii Vita sio ya silaha tu ni Vita pia vya kiuchumi
Ni Russia mwenye kuchagua Vita viendelee mbele zaidi
Mataifa mengi ya Ulaya kwasasa yupo hoi kiuchumi lkn wanafanya propaganda siri zisivuje
Ktk ali ya Ushindani wasasa wa kiviwanda kati ya China na Ulaya na Marekani
Pande moja ya Ulaya inapitia magumu mengi hata kabla ya Vita vyasasa bado China alikuwa tishio kwao
Sasa kuna Vita tena zinaendelea ujui mpaka lini !!!!!!!!!!
Viwanda vya Ulaya vinapitia Changamoto kubwa kupata Nishati na malighafi za kuendeshea Viwanda vyao !!!!!
wkt huo huo wapo kwenye ushindani mkubwa na China !!!!!!!!
Kwasasa zile Mbwembwe za Ulaya kutoa misaada hazipo tena kwashaaa
Ukiona Ulaya zamani kila ichi ilikuwa na Sauti ya kubwa ya kutuelekeza cha kufanya
Leo
Ile sauti imefutika!!!!!
Badala yake Sauti inatoka kwenye Bunge la umoja wa Ulaya!!!!!!!!!!!
Vita ya Russia lazima uvitafiti kwa upeo tofauti ndio utaelewa kwanini Russia inapigana kwa miaka mingi nini lengo lake Kuu!!!
Ukijibu kiwepesi tu
kwamba hawana lolote
Sio kweli !!!!!
RUSSIA na IRANIAN wapo kwa pamoja
kwenye Vita mbili kwa pamoja vya Silaha na
Kiuchumi dhidi ya Mataifa ya Ulaya na Marekani Mpaka Vita vyasasa uko Yemen
ni mwendelezo wa mikakati ya Vita vya Kiuchumi dhidi ya Ulaya na Marekani !!!
Tazama Ulaya leo ipoje kiuchumi
Pamoja na kuficha kwao
Lkn kwetu tu zipo Mbwembwe zao kwasasa zimepotea !!!!