Mwamba huyu hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,650
Reaction score
830,498
Kevin Durant ana utajiri wa dola milioni 200 na anakaribia miaka40, hana mke, hana watoto, hana rafiki wa kike, hana mswaki, hana cream. Ni yeye na Mama yake tu na mpira wa kikapu..

Mwana hata hajali chochote. Anaishi maisha yasiyo na stress.
Hivi majuzi alifanya interviee yenye utata:
'Jambo hili la uchumba ni mbaya sana. Mapenzi husababisha uraibu, mapenzi hayana uhuru. Ninapenda kujisikia huru, naridhika sana nikiwa huru. Na kuhusu ngono.. ningependa kulipa kuifanya, hakuna masharti. "
Anasema kuwa katika mahusiano mambo ni mengi, ni kama jela.... Na Ikitokea mambo yameenda vibaya, mwanamume hupoteza zaidi ya nusu ya utajiri wake...ambao mpenzi wake hakuutolea jasho.
Anamalizia kwa kusema...
Bora ukae peke yako na ufurahie amani yako ya akili. !! Utaishi maisha mengi
CC: #Team kataa ndoa
 
Staili ya Maisha hazifanani. Kila familia Ina aina yake ya kuendesha Maisha.

Zipo Ndoa zinaishi vizuri utazani wapo peponi. Zipo nyingine wanapitia machungu muda wao wote

Mmomonyoko wa maadili Kwa kizazi Cha Sasa unaweza pia kuiona Staili ya huyu jamaa ikawa ni Bora.
 
Asofuata Uislamu lazima atahangaika kwenye hii dunia
Binadamu mnajiekea sheria zenu ambazo ni kandamizi kwenu wenyewe hlf mnajiita mna akili

Muumba katuletea Muongozo ila watu wameukataa wanafata matamanio yao tu na haya ndo matokeo yake
 
Uchaguzi upo hata bila reforms
 
Utajiri wa 200m us dollars sii mchezo anaweza fanya lolote atakalo ndio maana hata sex akitaka ananunua.

Ni tofauti na Bongo ambapo vijana hatuna pesa mtu hana mke mbadala wake anaenda Riverside au Kimboka kutafuta K sii usenge huo kujiongezea mibalaa na nuksi.
Hakuna kitu kibaya maishani kama kijana 30+ anaeishi bachelor halafu hana pesa utaishi maisha ya stress balaa kuliko ambae anafamilia.
 
Oya mzee tupo 30+ hatuna pesa, hatuna familia na stress hatuna mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…