Mwallu: This is for you

Mwallu: This is for you

Mkuu Mentor si juzi tu hapa tulikuwa tunakupa ushauri baada ya kupoteza hela kwenye ticket ya Fastjet na baadae tukaanza kukuuguza maumivu ya kuachana na kipenzi chako?!! Kwahiyo ndani ya muda huu mchache tayari ulishapata kipoozeo humu!!! Upo vizuri sana mkuu

Mzee wa kuchepuka huyu...hapo alikuwa anachepuka na wifi yangu mwallu kamuacha ndani
 
Last edited by a moderator:
mamodi wengine bhana. birthday wishes nyingine zinaachwa MMU nyingine zinamuvishwa chitchat.

Yeyote anayemfahamu mke wa mod anipe contacts zake nikammegee mchana kweupe bila condom

laaziz Khantwe na mbea ICHANA msije huku, kuna mtu amehack account ya odm.

Mimi na wewe chumbani.....huku sebuleni utanivunjia ndoa babu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha huu ugomvi na Ntuzu plus mods kuchezea utam wao sipooo...naomba Kaizer na Mentor mkae mbali tuone huyu babu ODM atafanywa nini

Dawa ni kuwamegea tu hawa mods. ndo nshasema ivo. kama noma na iwe noma.
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa dada Yangu mpendwa mwallu

Leka naleje lopondo gete....!

Heri ya kuzaliwa dada Yangu mpendwa mwallu .... Nakutakia maisha marefu yenye furaha Na amani Na mafanikio Na afya tele!
Kolaga ohangame ILOMBOLYANE!

muuza ubuyu Nyani Ngabu Kiranga ng'wana ong'wa Kulwa njooni huku kuna Nziku imechinjwa!
Obheja sezae... Kiranga anapoteaga sana halafu
Happy birthday my shemeji.
and
May your birthday be filled with sunshine
and smiles, laughter, love, and cheer.....
Thanks kiwatengu.....salamu kwa shansarie
Heri yako ya kuzaliwa mchuchu mwallu. Mungu akupe upako zaidi na uendelee kunata mpaka uwe na manato zaidi.
Amen amen....Asante kwamtoro
Tized mganga Wa kienyeji Hebu Njoo uone huyu babu ODM Asprin anavyovunja mbavu Watu hapa! Ila usije na Kasinde maana Kasinde ugonjwa wake kufurahishwa! Anaweza akakumwaga akahamia kwa ODM Asprin

ODM Uko juu!
Ahhaaahaa......kweli sezae
Are you for real..its been ages! Cc: Kaizer



I didn't know this either!!!



Babu! Babu! Babu! Mchukue badiebey ila hapa...kikojoleo kitahamia kifuani babu!
That's ma hubi
Heheheheheheeeelluuuuu! Yegaga ilelo lushiku loko!
Obheja sezae japo umenisusa
big hug! ...mamito heri ya siku ya kuzaliwa,uishi kuona watoto wa wajukuu zako!
Asante Chujio......may God help
Thanks Mapi
Anapenda icecream huyooooo...ila simsemei!



Na huyu ni ODM halisi kaandika hapa..tena vere sober!


kwamtoro ...be vere!
Jamaaaaaniiiii.....nimeacha toka jana usiku...ila Leo ntakula tena
...it sounds more serious than I thought. mwallu & Mentor congrats guys..!
..heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa mwallu
Ahhahahhahha.....thanks my dia
Happy Birthday mwallu, hongera Mentor kwa mpenzio kutimiza miaka kadhaa.

Have a good day, have fun and enjoy. Dont forget to swim today as one of the celebration of the birthday!!
Ku swim? Dah......thanks lovely Kasinde
Popope ulipo badiebey, kam zis wei chapchap sana. tena ukuje without kusave time.
Ahahahaahaha.. Asprin unatibu maumivu ya kichwa?
Ahsante kwa taarifa. Kasinde kuja pande hii nikutekenye unizawadie malovee.

Cc: mwallu . . . popote ulipooooooo!!!!!!! sante sana Kasinde.
Nimeonaaaa
Mkuu Mentor si juzi tu hapa tulikuwa tunakupa ushauri baada ya kupoteza hela kwenye ticket ya Fastjet na baadae tukaanza kukuuguza maumivu ya kuachana na kipenzi chako?!! Kwahiyo ndani ya muda huu mchache tayari ulishapata kipoozeo humu!!! Upo vizuri sana mkuu
Wewe......mie sio kipoozeo ebo!
happy bday mwallu MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU
hongera sana kaka Mentor kwa kumpata mke mwema.mbarikiwe

and u wen....unajua ni vibaya kufa na hisia???
Aahahh.....thanks ICHANA......mwmbie asiogope
Mzee wa kuchepuka huyu...hapo alikuwa anachepuka na wifi yangu mwallu kamuacha ndani
Wiiiiiiiii
Wa kabila letu atauelewa?
Nitajitahidi
Dawa ni kuwamegea tu hawa mods. ndo nshasema ivo. kama noma na iwe noma.
Fanya Hivyo basi .....natania.....lol
Nakusubiri mtaa wa pili ujue...
 
Last edited by a moderator:
Serikali imeninyanganya zana, Nimemrudia Muumba, sasa naombea tu. Waambieni kuwa wagonjwa wanapona, viziwi wanasikia, viwete wanatembea, watu wanafunguliwa kutoka kwenye vifungo vyao.

Yu na heri asiye na mashaka nami.

Tized mganga Wa kienyeji Hebu Njoo uone huyu babu ODM Asprin anavyovunja mbavu Watu hapa! Ila usije na Kasinde maana Kasinde ugonjwa wake kufurahishwa! Anaweza akakumwaga akahamia kwa ODM Asprin

ODM Uko juu!
 
Serikali imeninyanganya zana, Nimemrudia Muumba, sasa naombea tu. Waambieni kuwa wagonjwa wanapona, viziwi wanasikia, viwete wanatembea, watu wanafunguliwa kutoka kwenye vifungo vyao.

Yu na heri asiye na mashaka nami.




Hahahaaaa komaa Mkuu ununue Na wewe CHOPA ila Angalia Mr Rocky atakushusha Huko juu!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Shemeji yangu mpendwa mwallu. Tized and family tunakutakia kila la kheri na Baraka tele. Kaka Mentor we wish you ONLY the best!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom