Mwallu: This is for you

Mwallu: This is for you

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,335
Reaction score
23,951
hbd.jpghbd.jpghbd.jpg

Kunukuu maneno ya mwimbaji drake;

Baby you're my everything, you're all I ever wanted
We could do it real big, bigger than you ever done it
You be up on everything, other hoes ain't ever on it...


YOU THE F***NG BEST!

Ladies and Gentlemen,
Unganeni nami kumtakia heri na fanaka ya siku yake ya kuzaliwa kipenzi cha moyo wangu mwallu...waridi la bustani ya moyo wangu!

Leo tarehe 07/08/2014 ni kumbukumbu ya siku ambayo Mungu aliona si vyema Mentor nitakapofika wa umri nisiwe peke yangu akazaliwa mwallu!

Happy birthday darling, the best I've ever had.

hbd l.jpg
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday wifi yangu mwallu. Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka wewe na mumeo
 
Last edited by a moderator:
Mentor shikamooo
mwallu happy birthday. Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha na akupe kheri katika yote uyatendayo.
 
Last edited by a moderator:
Birthdays huwa zina reveal mengi yaliyo kuwa hayafahamiki...nilikua sijui mwallu ndo kipenzi cha roho yako Mentor...good to know....happy birthday mwallu
Usimsikilize sana Mentor, bangi zinamsumbua.

Siku moja, Mentor alinunua bangi usiku.
Alipofika nyumbani,akavuanguo na
kuzima taa,ili aivute bangi yake vizuri.
Aliinusa akaona si kali,akaamua
kuirudisha.
Akavaa nguo gizani bila kutambua
amevaa skirt na blouse ya mke wake.

Alipofika kwa muuzaji,akamwambia
“Bwana eeee hii bangi wasi wasi
kweli,siitaki hata sii kali”
Muuzaji akamwambia, “kama hio si kali
na imekuvalisha rinda,nikikupa kali si
utapata periods!!!”


happy birthday darling wangu mwallu. Will you marry me???
 
Last edited by a moderator:
Thank you hubi Mentor......thank you so much........dah......nakosa maneno we wajua bana
 
Last edited by a moderator:
Mpwa wangu huyu shemeji yangu mwalu mbona kama vile ni Womanchester United??
 
Last edited by a moderator:
Safi sana....HBD mwallu
Thank you mkuu Nokia83
Happy birthday wifi yangu mwallu. Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka wewe na mumeo
Wii Asante sana.....nashukuru......niitie kaka yangu Ntuzu pliz
Mentor shikamooo
mwallu happy birthday. Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha na akupe kheri katika yote uyatendayo.
Thanks Mr Rocky.....Amen amen
Maisha marefu yaliyo jaa heri nakutakia mwallu
Amen Valentina.....Asante sana
Birthdays huwa zina reveal mengi yaliyo kuwa hayafahamiki...nilikua sijui mwallu ndo kipenzi cha roho yako Mentor...good to know....happy birthday mwallu
The Boss umechelewa mno kujua.....Asante sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Usimsikilize sana Mentor, bangi zinamsumbua.

Siku moja, Mentor alinunua bangi usiku.
Alipofika nyumbani,akavuanguo na
kuzima taa,ili aivute bangi yake vizuri.
Aliinusa akaona si kali,akaamua
kuirudisha.
Akavaa nguo gizani bila kutambua
amevaa skirt na blouse ya mke wake.

Alipofika kwa muuzaji,akamwambia
“Bwana eeee hii bangi wasi wasi
kweli,siitaki hata sii kali”
Muuzaji akamwambia, “kama hio si kali
na imekuvalisha rinda,nikikupa kali si
utapata periods!!!”


happy birthday darling wangu mwallu. Will you marry me???
Ahahahahahaha......Asante @Aspirin natumaini nane haijaanza tayari....aand.....I will marry you Not dear......am already taken jo
Happy birthday my dia dada.Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu na yenye baraka tele
Asante nzuna......Asante sana
Happy Birthday wa kukaya, umeibua Joker!
Obhejaaaaaa
Unakosa maneno sababu una blush? Excited? Pata maziwa utulize Munkari kidogo.
Dah.....nahisi ni vyote ama na zaidi.....napata maziwa fresh taratiiibu kabisa
Mpwa wangu huyu shemeji yangu mwalu mbona kama vile ni Womanchester United??
Crown tunavaaga tu Elli.....Asante sana
Happy Birthday Dear..!
Thanks darl Neylu
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa dada Yangu mpendwa mwallu

Leka naleje lopondo gete....!

Heri ya kuzaliwa dada Yangu mpendwa mwallu .... Nakutakia maisha marefu yenye furaha Na amani Na mafanikio Na afya tele!
Kolaga ohangame ILOMBOLYANE!

muuza ubuyu Nyani Ngabu Kiranga ng'wana ong'wa Kulwa njooni huku kuna Nziku imechinjwa!


Thank you mkuu Nokia83

Wii Asante sana.....nashukuru......niitie kaka yangu Ntuzu pliz

Thanks Mr Rocky.....Amen amen

Amen Valentina.....Asante sana

The Boss umechelewa mno kujua.....Asante sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
mamodi wengine bhana. birthday wishes nyingine zinaachwa MMU nyingine zinamuvishwa chitchat.

Yeyote anayemfahamu mke wa mod anipe contacts zake nikammegee mchana kweupe bila condom

laaziz Khantwe na mbea ICHANA msije huku, kuna mtu amehack account ya odm.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom