Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,246
- 1,727
Mie pia hesabu na physics natafuta kazi kwa sasa nipo dsmWakuu habari zenu...Mimi ni mwalimu katika somo la hesabu na kiwango changu cha elimu ni level ya degree..ninatafuta kazi ya kufundisha somo la hesabu katika shule yoyote private ya primary, o-level,a-level or chuo chochote cha diploma...mnakaribishwa zaidi kwa maswali...ahsanteni
Hizi za leo hujapata mkuu?Mie pia hesabu na physics natafuta kazi kwa sasa nipo dsm
mkuu kama hutojali naomba nije PMNikitaka uwafundishe watoto wangu mara tatu kwa wiki muda wa masaa 3 kwa ratiba yako, utahitaji kiasi gani? Katika muda huu unahangaikia ajira.
Physics na mathematics hata wameomaliza mwaka jana 2018 wamechukuliwa...Mie pia hesabu na physics natafuta kazi kwa sasa nipo dsm
ok..karibu mkuu...wenye uhitaji kama wapo watakuonaMie pia hesabu na physics natafuta kazi kwa sasa nipo dsm
mkuu kama hutojali naomba nije PM
si wote,kuna wengine hawajachukuliwa mkuuPhysics na mathematics hata wameomaliza mwaka jana 2018 wamechukuliwa...
nipo vizuri...nakuja mkuuKama una uhakika upo vizuri nicheki pm
Yes mfano mie sjachukuliwasi wote,kuna wengine hawajachukuliwa mkuu
Nikitaka uwafundishe watoto wangu mara tatu kwa wiki muda wa masaa 3 kwa ratiba yako, utahitaji kiasi gani? Katika muda huu unahangaikia ajira.
Hata wa masomo ya science kuna wengi ambao wameachwa mkuuHizi za leo hujapata mkuu?
Doh basi MUNGU atafanya wepesi kwakweli.Hata wa masomo ya science kuna wengi ambao wameachwa mkuu
Kwani wewe uko wapi mkuu?Hata wa masomo ya science kuna wengi ambao wameachwa mkuu
Siku kuuliza ulipo , Kama upo Dar ni poa, gharama na ratiba yako vikoje ?Naweza mkuu
Nipo tukuyu mbeya mkuuKwani wewe uko wapi mkuu?
Mie nipo dsm hapa mkuu ...na nmekutext pmSiku kuuliza ulipo , Kama upo Dar ni poa, gharama na ratiba yako vikoje ?