Mwalimu wa hesabu natafuta kazi

Mr Morogoro

JF-Expert Member
Apr 23, 2019
1,246
1,726
Wakuu habari zenu...Mimi ni mwalimu katika somo la hesabu na kiwango changu cha elimu ni level ya degree..ninatafuta kazi ya kufundisha somo la hesabu katika shule yoyote private ya primary, o-level,a-level or chuo chochote cha diploma...mnakaribishwa zaidi kwa maswali...ahsanteni
 
Mie pia hesabu na physics natafuta kazi kwa sasa nipo dsm
 
Nikitaka uwafundishe watoto wangu mara tatu kwa wiki muda wa masaa 3 kwa ratiba yako, utahitaji kiasi gani? Katika muda huu unahangaikia ajira.
 
mkuu kama hutojali naomba nije PM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom