MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Ukipangwa upande wa wamasai na wapare kama rundugai itakuwa imekula kwako
 
usimwambie mtu kwamba umepangwa kwa kamanda MBOWE watakuloga kwa wivu.wewe ni kama umepangwa jijini eti .hongera mkuu
 
Jamaa yangu amechaguliwa kwenye shule tajwa hapo juu.Ningependa kujua Ni upande gani ilipo shule hii,na Ni umbali gani kutoka shule ilipo mpaka Kibaha mjini.Pia aina ya usafiri na aina ya miundo mbinu katika eneo Hilo nikifahamishwa,ntashukuru.
 
Ni vema ukaweka wazi ni sehemu gani ya Tandahimba unaiulizia. Ila swali lako ni la ujumla sana. Kuhusu umeme upo ktk vijiji vilivyopo ktk Barbara ya Tandahimba-Newala ila vya ndani bado. Na kuhusu maji sehemu kubwa ya wilaya hii yana shida kubwa ya maji ukiondoa maeneo yanayopakana na mto Ruvuma.
 
shule ipo chalinze pale upande wa kushoto km unaelekea moro ni km kilometer 20 toka chalinze hadi shule ilipo.halmashauri ipo kibaha pale mailimoja.
 
Asanteni.Vp Kuna usafiri kutokea Ubungo❔
 
Jamani anaepafahamu bwafumba sekondari iliyopo wilaya ya buhigwe mkoa wa kigoma tafadhali anihabarishe kidogo
 
utapewa nyumba ya kuilinda na kuifanyia usafi ,na kukatia mifugo majani na kulimia mashamba ya migomba manake wachaga wanarudi dec had dec.
 
Hai kuzuri utaenjoy sana tu huduma zote utapata usafiri ni rahisi in short kuko vizuri
 
wadau naomba kupewa maelezo ya ntare secondary ktk halmashauri mpya ya kyerwa kagera.je iko mazingira gan.miundo mbinu.na vtu vngne
Ni shule nzuri iko karibu na barabara ya mkoa. kuna kasenta kakubwa mie nipo Ruicho
 
mhhhh!!!! ni sheedah,,,,kule kwenyewe umeme hamna,kiukweli kule pabovu ingawa si saana inafuatana we mwenyewe umekulia mazingira ya aje, uzuri wanyambo ni watu wakarimu saaana.
 
wadau naomba kupewa maelezo ya ntare secondary ktk halmashauri mpya ya kyerwa kagera.je iko mazingira gan.miundo mbinu.na vtu vngne
Ni shule nzuri iko karibu na barabara ya mkoa. kuna kasenta kakubwa mie nipo Ruicho

mhhh barabara ya mkoa,,, vumbi tupu na kiukweli usimdanganye mwenzio hapana uzuri wowote,bora kazi tu ngoja aje apige kazi lakini huko kote pabovu tu.
 
Back
Top Bottom